Dua

Dua

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2011
Posts
563
Reaction score
98
Mtoto aliomba dua mbele ya wageni na familia yake:
"Ee Mungu nakushukuru kwa kunipa wazazi
wakarimu; Nakushukuru kwa
kuwaleta wageni hawa
waliomaliza chakula changu;
Nakuomba Mungu usiwalete tena
wakati wa kula. Mbariki pia huyu kijana aliekuwa anacheza na
Dada mieleka kitandani na kumlisha SAUSAGE iliyo ndani ya suruali yake; Wabariki pia wadada walio UCHI kwenye simu ya Baba ili wapate nguo; Mwisho kabisa wabariki wanaume wote wanaokuja kulala na Mama, Baba awapo safarini ili nao wawe na kwao; AMIIN AMIIN....!
 
nimependa hapo kwenye sausage....... teh.... tehhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh..........
 
tehe teheeee!hao wageni wa mama bwana....!
 
baba muhuni na hao watu ambao hawaja vaa nguo
 
Sausage.hah hah haaaaaa. Safi sana. Lakini ilipikwa hiyo. Au ililiwa mbichi
 
Dah mie nimekuja mbio huku nikifikiri Dua amerudi kumbe hola!
 
Hahahahahaaaaa wageni wengine noumerrrrrrrr eeeeeeeehhhhhh!!!!!!
 
Back
Top Bottom