JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mfilekile ni jina la Kinyakyusa, wao huwa wanafupisha na kuita Mfile. Mbwambo ndio mwisho wa yote, kule kwetu Tanga wenye jina hilo huipata fresh mtaani kwa kuitwa kwa kifupi. Mbwa au mbo.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna mwanafunzi mmoja alikua ni mpemzi sana wa masomo lakini tatizo likawa ni moja tu! Kuna jamaa mmoja alikua amemganda kishenzi kisa mpenzi wake wa long time dada ni mwanafunzi wa Sec school...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mpendwa wangu Mama Salma Kikwete hasikiki. Mwenye kujua habari zake anijuze. Wengine walisema kakwama kwa Babu Loliondo, wengine ooh..kenda nyumbani kutayarisha mashamba msimu wa mvua, mara ooh...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naitamani sana hii siku tukakapo washika na kuwatia kolokoloni namna hii mafisadi wanaolindwa na serikali ya CCM.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
PROFILE Sheikh Mwinyi Aboud Jumbe (born 1920) was a politician in Zanzibar. He held several positions, including the second president of Zanzibar, chairman of the Revolutionary Council...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
"Most 'First Class' students get Technical seats, some become Doctors and some Engineers, The 'Second Class' students then passes MBA and become Administrators and control the 'First Class', The...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
sulihisho la maisha mazuri tanzania ni watanzania kujivua magamba yao na si kujivua kwa ccm peke yake cos watanzania ndio wenye magamba makubwa. na wasifikirie bila kujivua magamba yao nchi hbii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kweli anatia huruma
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana jf msada kuna uvumi kwamba mubunge afumaniwa na kamera mjengoni akiangaria picha zangono kwenyesim yakeyamkononi mwenyetalifa msada kamanikweri au uzushi nawasilisha
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mke alimuuza mme wake "hv kwann mwanamke akiwa anatembea na wanaume weng huitwa majna meng tena ya ajabu ajabu lakn mwanaume akiwa anazn ma wanawake weng huonekana shujaa mara utackia akiitwa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
MKE>Darling leo nimeanza kufanya DIET MUME>Ooh very nice Konda mwili wote lakini please usije UKAKONDA MAKALIO YAKO
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hebu tuangalie kidogo majina ya jamaa zetu chinga. 1.Antimbulenge 2.Licholonjo 3.Litowonyo 4.Nampwenge 5.Lingwalangwanji. Endeleza.............
0 Reactions
20 Replies
7K Views
  • Closed
watanzania tunafahamu mchango wa yusuf makamba katika kukijenga Chama cha Mapinduzi (CCM) ametangaza rasmi mwaka 2015 atachukua fomu ya kugombea urais wa Tanzania . nadhani kwa upande wa taifa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
naombeni baraka zenu wana jamvi, mie ni mgeni katika uwanda huu..... nkipata baraka zenu basi mie ntavua viatu na kujikung'uta mavumbi na kuingia rasmi then 2tashare ideas...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
mnazikumbuka hizi titles? Jogoo aliyesema, Brown ashika tama, Sikukuu ya sabasaba, Sadiki na sikiri, Kibanga ampiga mkoloni, Nondo mla watu ...
0 Reactions
54 Replies
9K Views
Mmakonde navyojua kupenda balaa!mkewe alipokwenda kusalimia wakweze yaani wazazi wa mmakonde na kukaa huko kwa muda mrefu, jamaa(chinga) akaandika barua kuwajulia hali wote na aliaanza hivi : Baba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hello friends we can now have friends without them knowing us or even without us knowing them,we can share our interests and so many things so let us enjoy it.......what you have to do is to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi na mmoja ya wasomaji wazuri wa safuhii ya mahusiano, mapenzi na urafiki. Ila nimekuwa na wakati mgumu kuelewa virefu vya vifupissho hivi MMU na PM. naomba mnijuze maana zake. I beg to submit.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamaa zangu Chinga wanajua sana kwenda na wakati na matukio hasa wakati wa kuwapa majina watoto wao. Hii nilithibitisha pale Maandazi road nilipomsikia baba Ochama akiimuuliza nkewe mama Ochama...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
kuna jamaa mmoja alibahatika kwenda kusoma majuu kwa miaka miwili. aliporudi tz, basi mwendo wake ukawa wa kudunda dunda na kuinamia upande mmoja (kushoto) basi cku moja baba yake akamuuliza, kwa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…