Watanzania ndio wanaostahili kujivua gamba

Watanzania ndio wanaostahili kujivua gamba

mwanaone

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
637
Reaction score
760
sulihisho la maisha mazuri tanzania ni watanzania kujivua magamba yao na si kujivua kwa ccm peke yake cos watanzania ndio wenye magamba makubwa. na wasifikirie bila kujivua magamba yao nchi hbii itaendelea hata aongoze nani. nchi hii itaendelea pale tu wananchi wote watakapoamua kujituma na kuacha utamaduni wa kukaa vijiweni, ubinafsi , na uvivu.
tanzania itajengwa na watanzania na siuo chama cha siasa au serikali. wale ni viongozi wakutuwekea mikakati ya ushindi. lkn kama hatotojituma kamwe hatutoendela. nisawa na timu ya mpira kama wachezaji hawajitumi hata waletewe kocha/ coacher mwenye uwezo kiasi gani kamwe hawatoendelea. so watanzani tunachotakiwa sasa ni kujivua magamba yetu.
 
Back
Top Bottom