Mama Salma Kikwete (FL) mbona kimya hivyo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama Salma Kikwete (FL) mbona kimya hivyo?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kashaijabutege, Apr 13, 2011.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mpendwa wangu Mama Salma Kikwete hasikiki. Mwenye kujua habari zake anijuze. Wengine walisema kakwama kwa Babu Loliondo, wengine ooh..kenda nyumbani kutayarisha mashamba msimu wa mvua, mara ooh, anafundisha tuisheni ili asiisahau kazi yake..Maneno mengi tu nasikia.

  Nijuze wana MMU.
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Anajipumzisha baada ya kazi ngumu ya kuch....
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  amegundua makosa yake kipindi cha kampeni anaona aibu kujiachia
  Hata hivyo wa nini kimjulia hali kilaza kama yule??????????????
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nenda magogoni utamkuta!
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Hadi kufikia page ya pili nahisi utakuwa na groan za kukutosha.
   
 6. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mpende jirani yako kama nafsi yako. Nampenda alivyo.
   
 7. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hayupo. Nisingeulizia JF.
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa kama kwake hayupo anakuja MMU ama?Nenda usalama wa taifa ukaripoti kapotea!
   
 9. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nenda OFISI ZA WAMA utamukuta kajaa tele anaendelea na majukumu yake kama kawaida.
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Nenda ikulu utamkuta MMU unajichosha tu

  Groan utakazokuwa nazo mpaka page ya 5 zinatosha kabisa kwa kianzio
   
 11. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 496
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Yupo Ikulu ya White House ya Magogoni amejaa Tele Nenda atakufungulia Mlango
   
 12. S

  Smarty JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  I see narrow mind person here .( wasting time talking about people).
   
Loading...