Vifupi vya majina ya Kiasili

Vifupi vya majina ya Kiasili

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,802
Reaction score
9,281
Mfilekile ni jina la Kinyakyusa, wao huwa wanafupisha na kuita Mfile.
Mbwambo ndio mwisho wa yote, kule kwetu Tanga wenye jina hilo huipata fresh mtaani kwa kuitwa kwa kifupi. Mbwa au mbo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom