Hebu tuorodheshe ugumu wa maisha au vitu vinavyopelekea ugumu wa maisha katika awamu hii ya kikwete.
- mafuta kupanda bei.
- umeme mgao usioisha.
- upandaji wa nauli wa kihorela.
- network...
Jamaa mmoja alikuwa na mke msamaria mwema sana.Mumewe akinunua vitu yeye lazima agawe kwa majirani.Kutokana na ugumu wa maisha,mume akachukua uamuzi wa kumgawia vitu vyote vya matumizi mkewe kila...
kuna jamaa mmoja alikwenda kuoa huko kigoma, harusi ilipokwisha wakaenda mapumzikoni(honey moon) na mkewe.
walipomaliza hiyo honey moon jamaa akarudi kwa wakwe zake kushukuru kwa vitu vzuri...
Salaam wana JF
Kuna swali juzi nimeulizwa na mtoto angu mdogo. Sikuweza kumjibu vizur. Ktk saa, mfano saa mbili kwa kiswahili ni 2 ila kwa kizungu ni 8. Akaniuliza sababu gani inayofanya namba...
A businessman met a beautiful girl and agreed to spend the night with her for $500. They did their thing and before he left he told her that he did not have any cash with him, but he would have...
A Young Girl After Her
Honeymoon Came Fully
Exhausted And Tired. Her Friends
Asked Her What Happened? She
Replied: When This 70 Year Old
Bastard Told Me He Has Saved A
Lot From Last 50...
Kuna jamaa mmoja aliota kuwa ameokota fuko la hela. Ndani ya ufuko kulikuwa na fedha nying sana, zilikuwa na za silva. Fuko lilikuwa limetobok, hivyo pesa zilikuwa zinadondoka akaamua kuweka...
Mmarekani:Sisi ndo wa kwanza kwend mwezini.
Mrusi: sisi tulikuwa wa kwanza kwenda space.
mbongo:sisi tunajipanga kwenda kwenye jua;
Mrusi;lol,we mbongo noma.
Mmarekani:we mbogo hamtaweza jua...
Nachukua nafasi hii kuwapongeza wenzetu wote waliokuwa wamefunga kwenye
huu mwezi Mtukufu, marafiki zangu wa karibu sana pia nawapongeza sana
na ninawatakia sikukuu njema ya Eid
Mfurahie sikukuu...
Nimepokea sms inasema.`YOUR CELL NUMBER HAS WON 415000 POUNDS FROM NOKIA-UK PROMO.FOR CLAIMS SEND YOUR DETAILS TO OUR EMAIL; nokiaukcashoff@gmail.com imetumwa kutoka namba+4916096535804. Je kuna...
Today is a day with a Speacial date which is supposed to make you feel
like a Speacial person . That because it is one of those
days in which history brought you on Earth .
Today is a day of...
First of all thanks Mom & Papa for giving me a life!
My respect for you knows no boundaries maximum respects to you Mom & Papa!
Words cannot express my appreciation on my birthday, as today is a...
Nitakuwa mtovu wa fadhila kama nikishindwa kuwashukuru ndugu zangu waislamu hasa majirani zangu.Kipindi chote cha mfungo ukarimu nilioushuhudia ni wa ajabu,kuanzia huduma ya tende na harua(sijui...
Three Times A Week
An elderly woman went to the doctor for a check up. After examining her and checking her cardiovascular activity, the doctor recommended that she engage in sexual activity...
Mchaga mmoja alipata mtoto wa kipwani kwenda nae guest house mwanamke kavua nguo,shanga tele kiunoni.mchaga yesuu na maria hisi Rosari sijui zimeibiwa parokia gani?
Marafiki, Wajukuu, wapwa, mabinamu na mashemeji....
Likuwa mwezi mgumu wenye wingi wa makeke......
Ilipingua kampani ya Ile "MUPE MURUKE"
Ile "Njoo upate mbili" Tulibakia wachache
Stuli ndefu...
wana jf habari zenu mimi ninataka kuzungumzia hili suala la muvi zetu. hivi karibuni nimejalibu kuangalia muvi kazaa na kuona
washiliki waliopo humo hawana sifa zozote za uigizaji, eti kisa ni...