Kwa Waislamu wote

Kwa Waislamu wote

mayenga

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2009
Posts
4,118
Reaction score
1,973
Nitakuwa mtovu wa fadhila kama nikishindwa kuwashukuru ndugu zangu waislamu hasa majirani zangu.Kipindi chote cha mfungo ukarimu nilioushuhudia ni wa ajabu,kuanzia huduma ya tende na harua(sijui kama nimepatia) mpaka chakula mseto,kiukweli ile hali ya upweke kwa sababu ya ubachelor ilipotea kwa muda,ila kuanzia jana dah!
 
yah....sio harua ni halua....
 
Ulikuwa unataka waendelee kukulea.
 
Waislam wakarimu sana!ndio maana hata omba omba hupita siku za ijumaa kupata sadaka!vituo vya yatima binafsi vingi vya waislam kulea yatima ktk familia ni wajibu
 
Hata mimi nimefuturishwa sana tu hadi nimeongezeka uzito bwana KIDOGO WANISILIMISHE KABISA YAANI DAH
 
Njoo msikitini leo kwenye sala ya Ijumaa kazi itakuwaimesha na utanza kuitwa Asha balada ya Ma..g.th
 
Back
Top Bottom