......Mkaidi hafaidi mpaka siku ya Eid | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

......Mkaidi hafaidi mpaka siku ya Eid

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Shantel, Aug 31, 2011.

 1. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Nachukua nafasi hii kuwapongeza wenzetu wote waliokuwa wamefunga kwenye
  huu mwezi Mtukufu, marafiki zangu wa karibu sana pia nawapongeza sana
  na ninawatakia sikukuu njema ya Eid

  Mfurahie sikukuu huku mkitafakari kwa undani kabisa uzito wa mwezi huu na
  mlipoweza kufunga, yale mema yote mliyokuwa mnayafanya mwezi mzima
  muendelee kuyafanya,isiwe kwamba mlikuwa mnasubiria kwa hamu siku ifike
  ili mrudie yale mabaya pia

  Nawaombea Mungu awatie nguvu na kuwabariki kwa mema yote mliyoyafanya
  Nawatakia sikukuu njema na msherekee kwa amani na upendo

  Mwisho kabisa...title nimeandika tu ila sijui huo msemo unamaanisha nini
  na nini chanzo chake....naomba kuchukua fursa hii kuomba kujibiwa kwa
  anayefahamu
   
 2. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Idi njema na wewe pia
   
 3. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Thanks Shantel its very kind of you,wishing you Eid Mubarak.
   
 4. Yasmin

  Yasmin JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Idd mubarak 2 u 2!
   
 5. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />

  Siku hiyo watu wote husheherekea pamoja kwa kula na kunywa ikiwezekana na mavazi plus miyuzik na mambo mengine ya sherehe hivyo basi hata yule ambae alitengwa kutokana na kubishia jambo fulani, basi siku hiyo usamehewa nae akaburudika na wenzake! (tafsiri isiyo rasmi; source-hadithi za Babu)
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,364
  Trophy Points: 280
  Msemo wenyewe ni mwana mkaidi hafaidi hadi siku ya Idd...............................una maanisha ya kuwa siku ya Idd wazazi huwavalisha watoto wao lakini pia ni nafasi kwao kutowazawadia watoto wao ambao wanawaona ni wakaidi.............kwahiyo mtoto mkaidi hafaidi hadi siku ya Idd anapozoa matunda ya ukaidi wake kwa kunyimwa mapochopocho ya wazazi wake................
   
 7. I

  Idaty Member

  #7
  Aug 31, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo inamaanisha kuwa, cku ya Eid wazaz wanajitahd cku hyo kuandaa either chakula cha pekee kwa familia ili kushirik pamoja cku hyo ndio nafasi pia kwa mkaidi kufaidi, kwa sababu kutakuwa na wagen kwa hyo itakuwa ngumu kwa mzaz kusema lolote mbele yawagen.
   
 8. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />

  Hahahaha....hii ya kwako imekaa vyedi!

  .
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Asante sana Shantel na wewe pia enjoy
   
 10. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  kweli mkaidi hafaidi mpaka siku ya eid, kwa hiyo siku hiyo hadi wakaidi wanapata kislope au mkono wa eid
  na kwa nini kila mtu akiombwa mkono wa eid anasema minailfaidhina? kama huwa ni siku ya kugawa kwa nini
  huwa hawagawi basi
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  ha ha ha... Shantel bana! Nini hasa are you getting at??
   
 12. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Shantel; Nafikiri nimefaidi kama wewe ulivyofaidi kujua na kutambua kuwa ... Hata makaidi ... Siku ya Eid ... isnt excluded kwenye sherehe ni kama anapata break anafaidi pia naye... kama nchi nzima ilivyo faidi umeme (Lol) lakini hapo kwenye blue.. Kama sijelewe kidogo ..Mgao gani Shantel?
   
Loading...