mbongo noma

mbongo noma

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,368
Mmarekani:Sisi ndo wa kwanza kwend mwezini.
Mrusi: sisi tulikuwa wa kwanza kwenda space.
mbongo:sisi tunajipanga kwenda kwenye jua;
Mrusi;lol,we mbongo noma.
Mmarekani:we mbogo hamtaweza jua linaunguza.
Mbongo:nye kweli vilaza.tutaenda usiku jua likizama
 
Duh akutukanaye kweli hakuchagulii tusi!!
 
Unashitakiwa kwa kufanya mbavu zangu kwa kicheko.
 
Kwa hiyo tutaenda juani usiku sio.? Jk ataongoza hiyo crew
 
Back
Top Bottom