yangoma
Member
- Sep 1, 2011
- 72
- 2
wana jf habari zenu mimi ninataka kuzungumzia hili suala la muvi zetu. hivi karibuni nimejalibu kuangalia muvi kazaa na kuona
washiliki waliopo humo hawana sifa zozote za uigizaji, eti kisa ni umaarufu wamewekwa kama mauzo ya film wakati hawana uhalisia wala talent hususani wauza sura wengi ni wanamuziki na miss vitongoji hawa watu wanaboa sana maana hakuna chochote kinachoonekana zaidi ya maonyesho ya mavazi na kiingereza chao cha tution. naomba ufafanuzi katika hili waelimishwe
hawa watu wana uelewa mdogo mno nawasilisha