MUREFU
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,331
- 353
Hebu tuorodheshe ugumu wa maisha au vitu vinavyopelekea ugumu wa maisha katika awamu hii ya kikwete.
- mafuta kupanda bei.
- umeme mgao usioisha.
- upandaji wa nauli wa kihorela.
- network kukatika kwny luku.
- kuibuka kwa vikombe vya tiba.
endeleeni na nyny
- mafuta kupanda bei.
- umeme mgao usioisha.
- upandaji wa nauli wa kihorela.
- network kukatika kwny luku.
- kuibuka kwa vikombe vya tiba.
endeleeni na nyny