Nipeni ripoti za mastaa wetu idd hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nipeni ripoti za mastaa wetu idd hii

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by yangoma, Sep 2, 2011.

 1. yangoma

  yangoma Member

  #1
  Sep 2, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wan JF kwema haya hawa jamaa wameleta vibweka gani huko mtaani maana wanaongeza kasi ya umaarufu kwenye magazeti kwa vituko vyao
  nawasilisha
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hbu nenda globalpublishers.com...................kachukue umbea huko,kwanza bongo hakuna mastaa
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Aaah wapi,hawa wauza sura wa mjini?
   
 4. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Star bongo au vilaza ktk usanii hawana lolote hao ni wauza sura tu na kutafuta umaarufu wa kuwa na vibaloon na viGX 100 BASI WANAJIONA MASTAR
   
 5. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Ma star wapi mkuu?Bongo hakuna mastaa kuna wauza sura na wapenda sifa tu,hawana lolote shida tu.
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Sep 2, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Yangoma ilitakiwa uwasilishe tukio moja then na sie tuendeleze....
   
Loading...