Ndoto kama hiz.....!!!

Ndoto kama hiz.....!!!

Mzee

Platinum Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,867
Kuna jamaa mmoja aliota kuwa ameokota fuko la hela. Ndani ya ufuko kulikuwa na fedha nying sana, zilikuwa na za silva. Fuko lilikuwa limetobok, hivyo pesa zilikuwa zinadondoka akaamua kuweka kidole kwa nguvu kwenye hilo tundu ili salio lisianguke. Asubuh anaamka kidole kipo kwenye tundu la makalio yake. Ilikuwa aibu kwel.
 
Nawakilisha kwenu.
 
Si alikuwa amelala nyumbani kwake ? sasa aibu hiyo kwani alionekana na nani ? ama mzee unatuambia yaliyokutokea heheheh
 
Si alikuwa amelala nyumbani kwake ? sasa aibu hiyo kwani alionekana na nani ? ama mzee unatuambia yaliyokutokea heheheh
<br />
<br />
kwan hauwez fanya jambo ukajionea aibu mwenyewe.
 
ha ha ha ha ha, mkuu una kesi ya kujibu. Umevunja mbavu zangu 2
 
ahahaa! umenikmbusha jamaa m1 alikua anaota anakula pilau kuamka asubuhi akakuta godoro alilolalia limebaki kipande tu.
 
Back
Top Bottom