Somebody,someone & crazy

Somebody,someone & crazy

2k Genius

Member
Joined
Feb 27, 2011
Posts
88
Reaction score
9
Washkaj flan mabest sana toka bush flan waliamua kwenda ulaya kusaka life baada ya kusikia kuna meli wanaweza kuzamia,bac issue ili kuwa hiv;
jamaa wa kwanza akasema washkaj eeh tukifika mton tusitumie haya majina ye2 coz wazungu hawataweza kuita,jamaa wa pili akauliza;sasa tutumie majina gan??jamaa wa tatu akasema;mi napendekeza mmoja aitwe SOMEBODY,mwingine SOMEONE na mwingine aitwe CRAZY....bas wote wakakubal na wakaanza safari
baada ya siku kadhaa wakiwa mton mara ukatokea ugomvi kati ya SOMEBODY na SOMEONE...crazy akajaribu kusuruhisha akashindwa kwan walikuwa wanaendelea kuumizana,akaamua kucall police;hey hallo police please come fast SOMEBODY is killing SOMEONE,police hakuelewa akauliza;what ?what u say..jamaa akarudia tena SOMEBODY is killing SOMEONE...police akasema are u crazy?jamaa akaitikia YES YES YES IM MR.CRAZY...
 
teh teh teh, kwahiyo hapo hakupata msaada wa polisi?
 
Polis kajua jamaa chz kumbe jamaa ndo jina lake@mgodi
 
sasa alijua vp kiingereza cha kuongea na polis...........tetetete......
 
hapokilicho fuat ni mauti kwa someone kati yao!
 
Pa1 guy ilikuwa ni balaaa..hapo muwe munaangalia nickname za kujipa
 
Back
Top Bottom