UBIMWI ugonjwa hatari sana

UBIMWI ugonjwa hatari sana

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
31,820
Reaction score
13,775
Ni Upungufu wa Bia Mwilini ambao huwa unawakabili wadau mbali mbali wa kinywaji hicho.
DALILI ZAKE:
1.Kiu sana
2.Njaa kali sana (Maana ukinywa lazima nyama choma)
3Kukosa ofa (Kama na mdoezi)
4.Mipango isiyokamilika.
5.Kukosa wapambe
6.Kuwahi nyumbani (kabla ya saa kumi jioni)
7.Kukasirika ovyo
8.Kuwa mnoko
9.Kuangalia taarifa ya habari
10.Kunyang'anyana remote control na watoto
11.Kufuatilia vitu vidogo vidogo vya nyumbani.
Ukianza kuona dalili hizi wahi pub iliyo karibu nawe.
 
Huo ugonjwa unatokana na upungufu wa hela mfukoni! Sasa utawezaje kwenda grossary ya karibu!? Tafakari!
 
Ahahahaaah!! Kwa hiyo waathirika wengi ni wale wasiokunywa bia?
 
Badala ya kufanya jambo la maendeleo unakwenda kumpa mwenye grocery fedha zako ajiendeleze yeye! Ama kweli akili ni nywele.
 
Ni Upungufu wa Bia Mwilini ambao huwa unawakabili wadau mbali mbali wa kinywaji hicho.
DALILI ZAKE:
1.Kiu sana
2.Njaa kali sana (Maana ukinywa lazima nyama choma)
3Kukosa ofa (Kama na mdoezi)
4.Mipango isiyokamilika.
5.Kukosa wapambe
6.Kuwahi nyumbani (kabla ya saa kumi jioni)
7.Kukasirika ovyo
8.Kuwa mnoko
9.Kuangalia taarifa ya habari
10.Kunyang'anyana remote control na watoto
11.Kufuatilia vitu vidogo vidogo vya nyumbani.
Ukianza kuona dalili hizi wahi pub iliyo karibu nawe.
Kwenye red Ukapate Castle lite baridi na k/moto safiiiiii...
 
Back
Top Bottom