Hebu jiulize wewe................

Nampenda jinsi alivo... Mwanzoni kabisa nilipenda muonekano wake, ni mwanaume wakuvutia sio mzuri but ni the type ukimuona kama ni mwanamke utataka uwe nae.... Napenda Madhaifu yake, strength zake, Jinsi anavonipenda kadri ya uwezo wake, yaweza isiwe level nitakayo but i know hio ndo level best yake - hivo its enough. Siku zinavozidi kuendelea sababu zina evolve na kukua... nakua nampenda sababu ni good hubby (kwamba aniridhisha), ni good dad, ni a good person kwa jamii na anajali yalo ya msingi. Hua ananiboa mpaka karaha but knows how to make it up to me... And that always melts me down. Na most importantly napenda kua ni mtafutaji.... maana bana nani alikuambia mapenzi yanashibisha na yaweza endesha familia bila kipato.....lol
 
Nampenda tu kwasababu nampenda. Hakuna sababu ya mimi kumpenda.
 
mbona umefunguka kwa wasifu wa njee mama?
 
Daaah!mie bado kupata hiyo bahati na umri ndo hivyo tena jua la alasiri
 
Nampenda kwa jinsi alivyo na namna anavyonipenda, nadhani siku nikimuoa nitampenda zaidi.
 
mmmmhhh huu upendo wa GF/BF inamaana unamshaka nao mpaka ukimuoa utampenda zaidi! Ss ww kipindi umempendea nn?
 
Yaani Ww hadi leo unamkopa tu mtoto wa mwanaume mwenzio? Hebu halalisha banaa (FF sijui kapotelea wapi,angekupa vidonge vyako,lol)

Nampenda kwa jinsi alivyo na namna anavyonipenda, nadhani siku nikimuoa nitampenda zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom