JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wana JF,ktk mishemishe za hapa na pale mara jamaa m1 kapita na eskudo yake akanirushia matope bhana,jamaa kasimamisha gari na kushuka ili kuniomba msamaha,mm kwa hasira nikaanza...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna mtoto alizaliwa akawa haongei mpka alivyotimiza umri wa miaka 8,neno lake la kwanza kuongea likawa ni bibi,mara bibi yake akafa ghafla,akaja tena akatamka babu,naye babu akafa ghafla,kwa hiyo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanasema maumivu ya kichwa huanza polepole, Nilikuwa simpendi huyu mwanamke, lakini sasa bila kumuona nakosa raha kabisa… nahisi namuogopa au nampendea sana.. lakini kiukweli nafurahia uwepo...
1 Reactions
128 Replies
10K Views
Ningeomba wana MMU wooote tukutane xmass hii kwa ajili ya kubadilishana mawazo live na kuifurahia siku kuu hii kwa pamoja tukila na kunywa. Nitajitolea round moja kwa kila mtu. Nimeona nifanye...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Great Thinkes.. Leo nimemsikia Dk.Slaa akielezea kwa ufupi maisha yake pamoja na miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika. Anasema wakati wa ukoloni baba yake alikuwa mpishi wa DC. Source; Clouds fm
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Kidogo wagongane. halafu mbona ndege zenyewe mitumba?. mtume ka roho kangu leo! sijui kima siku itaisha salama iwapo wataendelea kupita. Mia
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Darasa linaendelea na kipindi, na mara ukafika muda wa maswali, mwalimu wa kiswahili, akitanguliza maelezo akisema "wanafunzi na sasa atasimama kila mmojawenu atakua anataja neno au jina la kitu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hivi ipi adhabu rahisi kati ya hizi zifuatazo ikiwa umekamatwa na mume au mke wa mtu?? 1)Kunywa glass moja ya makohoo ya mgonjwa wa TB. 2) Kukamua kwa kimywa jipu bivu la mgonjwa wa ukoma. 3)...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Harusi ya patashika imefanyika, walikuka wakanywa wakaserebuka, sasa shughuli imekwisha bwn harusi keshalala na mkewe yapata cku ya 7. Cku ya 8 bw harusi amefunga safari kurudi ukweni shabaha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
nilikuwa young boy in the hood,siku moja nika kazwa sana usiku,nika-amsha big bro anipeleke choo lakini akasema zii....sasa nikajifanya okwonko nikafungua mlango usiku kitu saa saba hivi...lakini...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
kuna dogo alienda xul na paka wake, akiwa darasani mara mwalimu akaingia kisha akamuuliza yule dogo Teacher: "Why is your cat at school?" Crying kid: "Because I heard daddy say to mommy, "I'm...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JF, kila nafsi imeumbwa na kufurahi ndani yake. Uzi huu unatuwezesha kuorodhesha top ten thread zilizo kufurahisha kwa mwaka 2011. Sio lazima thread ziwe kumi, can be less than ten
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Mzee wa Kipemba kaletewa habari mwanawe kafa Makkah. Mzee akasema; "Nkusudiii! Ee ntu alikua yukwao Pemba ninzimaa, kankwenda nchezea Mungu nyumbanikwe! asife angoje nii!"
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dar es Salaam usiku hakulaliki, joto si la kawaida. Joto hili sijui ni la mvua, au la jua? Hatari tupu
0 Reactions
18 Replies
2K Views
She is the talk of the society I live in. Among men for she is beautiful, very beautiful and I am not that handsome (Ok I am lying. I'm african and kind of white but not handsome!), and...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Jamani kuna maajabu huku duniani, kuna mtoto alipozaliwa hakuwahi kuongea hadi alivyofikisha miaka 8... Siku hiyo neno la kwanza kuongea alitaja BIBI ghafla bibi akafa. Akataja tena BABU, mara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanyama pori walikua akajibu, "punda", wanyama wote wakamcheka punda, mwalimu akauliza tena, "nani mwenye 'obmo' kubwa"?, wanyama wote kimya, Punda akageuka kwa simba akamwambia, "jibu tena sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF. Naona lile janga la ushoga linazidi kupata nguvu ya ajabu kwenye bara letu la afrika.. Wanaume watatu nchini Cameroon wamehukumiwa miaka mitano kwenda jela kwa kufanya mapenzi ya...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
jamani nisaidieni,mwanangu hataki kuoga wala kula kisa JF.
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…