teh teh teh (cheka kifisadi)

teh teh teh (cheka kifisadi)

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
1,313
Reaction score
291
Jamani kuna maajabu huku duniani, kuna mtoto alipozaliwa hakuwahi kuongea hadi
alivyofikisha miaka 8... Siku hiyo neno la kwanza kuongea alitaja BIBI ghafla bibi akafa.
Akataja tena BABU, mara wakasikia babu nae kafa huko aliko. Kila mtu akawa ana
mashaka kuhofia atatajwa nani tena. Mara akataja BABA, wakati baba yake akiwa na
wasiwasi wa kuambaa duniani, Dereva wao akafariki papo hapo!
 
kama mimi ni baba ningeenda kutoa sadaka kwa sababu ni matukio machache yanayojidhihirisha hapa hapa diniani.
 
Back
Top Bottom