Mtoto wa ajabu

Edwin Chapa

Member
Jun 3, 2011
54
12
Kuna mtoto alizaliwa akawa haongei mpka alivyotimiza umri wa miaka 8,neno lake la kwanza kuongea likawa ni bibi,mara bibi yake akafa ghafla,akaja tena akatamka babu,naye babu akafa ghafla,kwa hiyo watu wakawa na wasiwasi na matamshi yake,ikaja siku akatamka baba,basi baba akawa na presha alijuwa naye atakufa ghafla,matokeo yake akaja kufa houseboy ghafla.....Just Now via Nokia tochi
 
Mbona wake siku hizi wanalalamikiwa hivi, maadili yameshuka au tatizo sisi midume.nukta
 
Back
Top Bottom