Mnuso!!!

Jimmy Romio

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
367
278
Ningeomba wana MMU wooote tukutane xmass hii kwa ajili ya kubadilishana mawazo live na kuifurahia siku kuu hii kwa pamoja tukila na kunywa. Nitajitolea round moja kwa kila mtu. Nimeona nifanye hivi kwa upendo tu kwa vile humu jamvini ni kama tumekuwa kama familia sasa. Tumeshauriana mengi sana na kujifunza mengi kupitia ushauri au mda wanazotoa memba wengine. HAKUTAKUWA NA HAJA YA KUJITAMBULISHA ID YAKO YA MMU. (Ikiwepo hii watu watasusa najua)

Basi pia ningeomba mpendezeke sehemu ya kukutana na mda. (sehemu ambao itapendekezwa na memba wengi ndio itapita)
Karibuni sana kwa mapendekezo. Waweza kupendekeza siku hiyo kuwepo nini ili kutia nakshi zaidi
 
Unacheza na watu wa Dar wewe...Hawana urafiki hao!
Watakuambia wewe ni mtu wa UWT fasta!

Kama vp ishu hiyo iuze huku A-Town!...ina soko huku!!
Wasiwasi wangu ni hiyo raundi 1 yako uliyotangaza!
Kwa mahesabu yako unadhani inaweza sababisha mtu akakwambia ID yake?...sidhani bana, haitoshi!
 
hivi amesema tuchague sehemu za Dar?....halafu hii ID aliyotumia ni mpya sana bana....angetumia ile ingine...
 
Mimi, Pearl, Nguli, Masaki na Jeni tumesha wahi kukutana.
Pia Ndyoko, ndugu yangu mpendwa tumesha wahi kukutana. Na niko tayari kukutana na mtu yeyote na muda wowote ili mradi nafasi inapatikana.
 
Unacheza na watu wa Dar wewe...Hawana urafiki hao!
Watakuambia wewe ni mtu wa UWT fasta!

Kama vp ishu hiyo iuze huku A-Town!...ina soko huku!!
Wasiwasi wangu ni hiyo raundi 1 yako uliyotangaza!
Kwa mahesabu yako unadhani inaweza sababisha mtu akakwambia ID yake?...sidhani bana, haitoshi!

Round moja sio ishu, nimejiandaa, karibu pia.
 
Umeongelea raundi moja. . . vipi pilau?
Kama kinywaji na msosi vitakuwepo nihasibie na mie.
 
Lini mkuu? Je intelejensia hawajatoa tamko kua na uwezekano wa mashambulio ya al-shabaab?
 
Unacheza na watu wa Dar wewe...Hawana urafiki hao!
Watakuambia wewe ni mtu wa UWT fasta!

Kama vp ishu hiyo iuze huku A-Town!...ina soko huku!!
Wasiwasi wangu ni hiyo raundi 1 yako uliyotangaza!
Kwa mahesabu yako unadhani inaweza sababisha mtu akakwambia ID yake?...sidhani bana, haitoshi!

Hao jamaa wa Dar kumbe wanafiki sana khaaaaaaaa!
 
Mkuu unajua xmass huwa inakuwa siku ya kifamilia zaidi na watu hupenda sana kuimaliza na jamaa wa familia, kama vipi sema tarehe ingine kama 26th dec hivi, kwa 25th unaweza usipate watu wengi.

Wazo zuri lakini, waatu sijui huwa wanaogopa nini tu
 
Sioni sababu ya watu kuwa waoga kukutana.
Niogope nini? As long as mimi sio mhalifu,mimi sio fisadi, mimi sio haramia, mimi ni raia halali na mtumishi wa umma wa watanzania.

Na hatuwezi kuonana bila kujuana kwa Id mana hakutakuwa na mvuto.

Imagine furaha mtu utakayo pata unabadilishana mawazo na mtu huku anajimbulisha kwamba yeye ndio Bujibuji, Kongosho, Lizzy, Asha Dii, Maria roza, R. Roulete, Fe lady, Sweet ladyg, Preta, Jestina,Nyamayao,Nyumba kubwa, Kloro, The boss, finest, St ivuga, Masanilo, Vivian,figaniga, N. Ngabu, Asprin, Paka Jimmy, mr Rocky na wengineo weengi, tukijuana kwa id zetu hapo ndio patakua na mvuto wa aina yake mana kila mtu atafurahi kumjua mwenzake.

Kichekesho ni kwamba yule uliyemdhania ni mdada mrembo utakuta na kibii kizee, au kidume, kibabu n.k dah itabidi kuwepo na raundi ya chimpumu kwa kuwaenzi wazee wetu watakaokuwa hawatumii byuariz

Nawasilisha
 
Hahahaha. . .
Mpatanishi umenifurahisha. Itabidi watu wajiandae kuwa sapraizid kwakweli.
 
Unacheza na watu wa Dar wewe...Hawana urafiki hao!
Watakuambia wewe ni mtu wa UWT fasta!

Kama vp ishu hiyo iuze huku A-Town!...ina soko huku!!
Wasiwasi wangu ni hiyo raundi 1 yako uliyotangaza!
Kwa mahesabu yako unadhani inaweza sababisha mtu akakwambia ID yake?...sidhani bana, haitoshi!

hivi amesema tuchague sehemu za Dar?....halafu hii ID aliyotumia ni mpya sana bana....angetumia ile ingine...
Nyie watu wawili this tym...yaani this tym.....yaani...mimi nawaambia kabisa yaani...
 
kweli Lizy mana naweza kudhani ww ni mdada mrembo nikakuta kumbe ww ni kibibi teh teh teh
Wala sio uongo. .
Au unadhani kadada kana umbo nambanane unakutana naumbo la mnazi au sanamu la michellini kama wenyewe wanavyoita.
 
DSC02580.JPG

Mimi nitawawekea hii kitu si mnaona masaburi yao yalivyonona....:eyebrows:
 
Watu wengine waoga kukutana utadhani wana uraia wa somalia!
hahahahaha,umenichekesha aisee.

Mie niko mbali tu,ningekuwa Tz ningejumuika nawe :poa,ila sie huku tuna bonge la party 9 Desemba,kwenye mambo ya uhuru.Nalog off
 
Back
Top Bottom