Top Ten Thread za mwaka 2011, kwa jinsi zilivyokugusa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,780
Wana JF, kila nafsi imeumbwa na kufurahi ndani yake.
Uzi huu unatuwezesha kuorodhesha top ten thread zilizo kufurahisha kwa mwaka 2011. Sio lazima thread ziwe kumi, can be less than ten
 
namba moja yangu ni ile ya rasta mwenye diabetese alipomwagia maji ile 'maneno' ili sukari yake ipungue!
 
Mbona hii kazi ni nzito sana Buji. Cuz thread zilizo hot ni nyingi sana!
 
Wana JF, kila nafsi imeumbwa na kufurahi ndani yake.
Uzi huu unatuwezesha kuorodhesha top ten thread zilizo kufurahisha kwa mwaka 2011. Sio lazima thread ziwe kumi, can be less than ten

cjui kwanini hukuirusha hewani ,
kuna siku tulikuwa Kawe Beach tunakula samaki, ukasema mlinzi wa ofisi yenu ana mikwara kichizi, akiona mademu anawanunulia soda, naye ananunua yake. Kisha anatoea pilipili kama saba hivi halafu anaweka kwenye soda yake. Kila nikikumbuka, nacheka
 
kuna thread ya follow me if you can, na ile ya historia ya uhuru kama isimuliwavyo na Mohamed..... hizo naona zimekuwa juu kwa muda mwingi.... by the way tunatumia vigezo gani kuziorodhesha? ama kwa wingi wa comments ama iliyogusa moyo wako?
 
kujigusa moyo
 
cjui kwanini hukuirusha hewani ,
kuna siku tulikuwa Kawe Beach tunakula samaki, ukasema mlinzi wa ofisi yenu ana mikwara kichizi, akiona mademu anawanunulia soda, naye ananunua yake. Kisha anatoea pilipili kama saba hivi halafu anaweka kwenye soda yake. Kila nikikumbuka, nacheka

yale yalikuwa masimulizi baada ya mlo mzito, usiiweke kwenye kundi la thread
 
Ngoja siku nikipata mapumziko ama likizo nitakaa na kuanza kuzipitia ili nikumbuke vizuri ipi niliipenda sana.... but wewe pia ni mmoja wa walionibariki sana kwa 2011

hata mimi unanibariki sana.
Ningeandika mengi, ila niko kwenye daladala halafu kuna katoto kanalia sana, ukitaka kukagusa tu kanakuporomoshea mvua ya matusi. Kamemwambia konda, ndio maana hujui kuoga
 
aha aha haha, pole sana kwa hilo, ila kila la heri kaka
 
Wana JF, kila nafsi imeumbwa na kufurahi ndani yake.
Uzi huu unatuwezesha kuorodhesha top ten thread zilizo kufurahisha kwa mwaka 2011. Sio lazima thread ziwe kumi, can be less than ten
Hii yako ndiyo nambari wani kwangu mimi
 
Thread ya Shimbo kuiba trillion 3. Sijasikia tena juu ya ile habari.
 
Back
Top Bottom