Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,439
- 166,898
Dar es Salaam usiku hakulaliki, joto si la kawaida.
Joto hili sijui ni la mvua, au la jua?
Hatari tupu
Joto hili sijui ni la mvua, au la jua?
Hatari tupu
Dar es Salaam usiku hakulaliki, joto si la kawaida.
Joto hili sijui ni la mvua, au la jua?
Hatari tupu
Potezea si lazima
u duu!
Kama ni KUWOWA na hauna kiyoyozi au feni fanya kama tufanyavyo wenzako tulio katika hali sawa!!!! Nenda maliwatoni na mwenzio mkiwa na ndoo yenye maji tosha na kikombe/bohora la kuchotea!!!
Anza KUWOWANA na joto ikizidi MWAGIANENI maji kupoza; kisha endelea hadi mtakapokata kiu zenu!!!!! Kwangu inafanya kazi kwa mafanikio makubwa tuuu!!!!!! Sema ndoo nimeiwekea stand ili maji yafikiwe kwa urahisi (badala ya sakafuni; too much kujipinda kuchota)
'kuwowa' au kuoa.
kha...kama kuwowa ndo huku huyu nae alikuwa anamaanisha nini?:Kuwowa sio kuoa
Kuwowa ni kujifunika na mablankent mawili hadi utoke majasho, ndo maana anashindwa kujifunikia hayo mablanket saabu sa ivi Dar joto la sivyo ataiva kama nyama.
au mi ndo nimepitiliza kuelewa hapa...!??Kama ni KUWOWA na hauna kiyoyozi au feni fanya kama tufanyavyo wenzako tulio katika hali sawa!!!! Nenda maliwatoni na mwenzio mkiwa na ndoo yenye maji tosha na kikombe/bohora la kuchotea!!!
Anza KUWOWANA na joto ikizidi MWAGIANENI maji kupoza; kisha endelea hadi mtakapokata kiu zenu!!!!! Kwangu inafanya kazi kwa mafanikio makubwa tuuu!!!!!! Sema ndoo nimeiwekea stand ili maji yafikiwe kwa urahisi (badala ya sakafuni; too much kujipinda kuchota)
<
Potezea si lazima
u duu!
Wanaeza enda home na kuchill tu
Sasa mchill tu watoto mtatengeneza wa udongo
Ukijifunika joto ukijifunua Mbu, ukikaa ndani ngeleja hakupi nafasi ya kuangalia TV, ukitoka nje harufu za vikwapa sijui uchague nini taaabu na karaha Jiji la Dar