Haya mandege ya Kivita yanayopita kwenye anga la Dar es salaamu Mhmmmm!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya mandege ya Kivita yanayopita kwenye anga la Dar es salaamu Mhmmmm!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by figganigga, Nov 29, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,978
  Likes Received: 6,618
  Trophy Points: 280
  Kidogo wagongane. halafu mbona ndege zenyewe mitumba?. mtume ka roho kangu leo! sijui kima siku itaisha salama iwapo wataendelea kupita. Mia
   
 2. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Nauliza haya Mandege yakivita yanayopita kwenye anga la Dar es salaam kila mara ndiyo yatakuwa yatoa heshima kwa mkulu siku ya uhuru??Lakini mbona hayana speed??alafu yanaonekana makukuu au ni ya mtumba??mtujuze yasije yakatuangukia siku ya maonyesho maana ya naoneka na yana misi!!!!:spy:
   
 3. u

  utantambua JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Si sheria imeshapitishwa? Watanunua na mabomu ya mitumba: wale mnaokaa karibu na kambi: lugalo, gomz na mbagala kaeni mkao wa kula
   
 4. BABU CHONDO

  BABU CHONDO JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tulinunua yakiwa mabovu hvy yako kwenye matengenezo na test.
   
 5. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hiyo siku mlishaambiwa mkae nyumbani hakuna kwenda kokote,unawakumbuka wale jamaa 2858????
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Asante Mod naona nasisi tumegongana na JITI katika thread!!ila asante kwakutuunganisha umakini wako mkuu!!Ningekugongea na senksi sasa ndo umetunyang'anya ngoja tusubiri utakuja na nini mkuu!!
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Yanaenda utafikili madege ya kufanya umwagiliaji wa dawa mashambani aagh!
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,490
  Likes Received: 19,887
  Trophy Points: 280
  sasa vitani si mnaweza ukalitungua hata na jiwe?
   
 9. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Gobole linatosha mkuu wala hakuhitajiki mzinga wala nini!!
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,355
  Likes Received: 22,221
  Trophy Points: 280
  hayo mandege yamesha expire, hata kasi yake imezeeka. Ukiwa na baiskeli yako ya swala unatangulia kufika airport, unaliacha lenyewe njiani likimbwelambwela
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 12. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  watch out...watch out...watch out...!!!!!!
   
 13. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Poleni ndugu labda maandalizi yakumtoa jairo,
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Pesa za manunuzi yake yalishaliwa na mnadhimu wa ----- aitwaye--
   
 15. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,978
  Likes Received: 6,618
  Trophy Points: 280
  hii ni familia moja yenye watu zaidi ya elfu 50. hamna haja ya kunyang'anyana coz wote ni ulithi wetu. kama unavyoona. mawingu yametanda kidogo tu ndege zimerudishwa ngerengere. mia
   
 16. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Zitakusa kuvuja maana lazima ziwezimepigwa puti!yani walivyosikia vitu vibaya nivya jeshi hata ndege??magali ndo machakavu siyo ndege!!
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,490
  Likes Received: 19,887
  Trophy Points: 280
  4 trillion
   
 18. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #18
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,355
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Ni kweli hawa 2858 walionya?
   
 19. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #19
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280

  ha ha ha na hapa zumbukuku alikua ana test..chezea msoga a.k.a sirte wewe?
  bwege.jpg
   
 20. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #20
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Hiyo siku ya uhuru nategemea kamanda Kova atutangazie kuwa tusitoke majumbani kwetu maana alshaabab wanataka kulipua taifa. Au kitisho chao kimeshaisha?
   
Loading...