Mashoga wafungwa Jela kwa kufanya mapenzi kwenye gari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashoga wafungwa Jela kwa kufanya mapenzi kwenye gari

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mshume Kiyate, Nov 26, 2011.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wana JF.

  Naona lile janga la ushoga linazidi kupata nguvu ya ajabu kwenye bara letu la afrika..

  Wanaume watatu nchini Cameroon wamehukumiwa miaka mitano kwenda jela kwa kufanya mapenzi ya jinsia moja ambavyo ni kinyume na sheria ya nchi hiyo.

  Watuhumiwa wawili walikuwa mahakamani katika mji mkuu Yaounde, lakini mtu wa tatu alihukumiwa akiwa hayupo.

  Polisi walisema watu hao walikamatwa wa kukutwa wakifanya mapenzi kwenye gari. inatisha na ni uamuzi usiokubalika alisema polisi mmoja.

  SOURCE: AFP
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Haya mambo hata kwetu Tanzania yameishaanza, tunapoelekea ni pabaya
   
 3. p

  pansophy JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Tufanye kama Ug, ukikamatwa ni kifo tu maybe utapungua
   
 4. Ye Soya

  Ye Soya Senior Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hao waliowafunga ndugu zake devid wanaibipu uingereza, ngoja tuone, wengine yetu majicho!
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Duh, mibwabwa itatupalia tusipoangalia.
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Washindwe ktk jina la yesu,na wanaoshabikia walaaniwe
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Badala ya kufanya hivyo kwa mafisadi na wale wanaowaua albino mnataka kuelekeza ukichaa wenu kwa watu wazima wenye hiari ya kufanya wakipendacho! No wonder we are where we are!
   
 8. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nadhani hao uliowataja na awa mashoga wote wanatakiwa wapate hukumu ya kifo tu
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Nov 26, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Utawaua wewe?
   
 10. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Na hao mafisadi uliowataja utawaua wewe?
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Nov 26, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ndiyo.
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ndio ningeuwa wote
   
 13. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #13
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hii habari ilikuwepo habari imerudiwa,Niliiweka mimi Jana naona Umeirudia mkuuu...pole lakin.
   
 14. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #14
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo tufanyaje sasa?
   
 15. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #15
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Pumbavu zao. Wangefungwa kifungo cha milele.
   
 16. p

  pansophy JF-Expert Member

  #16
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Kuna watu wameajiliwa kwa kufanya hii kazi. Unahisi Tanzania hatuna adhabu ya kifo?
   
 17. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #17
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapana Chatu Dume,

  Wa kuulaaniwa ni yule mwanaume rijal anaye geuza wanaume wenzake mashoga. Tena asiuliwe bali ahasiwe na kitu yake ilegee milele. Wengi wa mashoga waliharibiwa na hawa hawa wanaume rijali.
  Utawajuwa tu hawa wanaume laana.
  Ndio hasara za kupenda Tigo. Jamaa likikosa Tigo ya mwanamke linaparamia tigo hadi za watoto wa kiume.
   
 18. m

  mams JF-Expert Member

  #18
  Nov 27, 2011
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hii imekaa vizuri, sote yatubidi tuchukue hatua kali dhidi ya vitendo viovu kama hivi na Uingereza ikose pa kupeleka misaada.
   
 19. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #19
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Haya mambo sio ya kuyapuuzia ipo siku utasikia mwanaume mwenzako anakuletea posa nyumbani kwenu
   
 20. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #20
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo kama uliiweka, si ungeiwekea password isiwekwe na mtu mwingine? changia mada bwana, wacha kujifagilia
   
Loading...