Kama unataka kukasirika na rafiki yako fanya hivi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama unataka kukasirika na rafiki yako fanya hivi!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mpemba mbishi, Nov 30, 2011.

 1. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi ipi adhabu rahisi kati ya hizi zifuatazo ikiwa umekamatwa na mume au mke wa mtu?? 1)Kunywa glass moja ya makohoo ya mgonjwa wa TB. 2) Kukamua kwa kimywa jipu bivu la mgonjwa wa ukoma. 3) Kuramba kwa ulimi lindi la choo cha wodi ya matumbo ya kuharisha. 4)Kula vijiko 10 vya matapishi ya mlevi wa gongo au kula mkate uliopakwa mafua ya taahira kwa jagi moja la juice ya usaha? Watumie msg hii rafiki zako watano hususan wakati wa lunch uone watakavyokukasirikia
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  kichefuchefu.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  duh! Vichwa vingekuwa vya vioo tunaona mawazo ya watu hakika tungekuwa hatusalimiani.
   
 4. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Khaaaaaa!
  Una mpango wa kwenda kufumania?
   
 5. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  :puke::puke::puke:...
   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kidogo ntapike
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  kwa chakula kipi ulichokula?
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Sikupatii picha ulivyo afu unatapika. Duh lazima yanaruka pwaah! Afu nawaza unaongeleaga puani na una kithe the

   
 9. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mods toeni huu uchafu
   
 10. k

  kisesa Member

  #10
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 30, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Kinyaa hata sikumalizia topic
   
 11. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Aaaaagh!
   
Loading...