Nilidhani Mbwa Itakula Mavi Ya Mine But I Was Wrong.

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
nilikuwa young boy in the hood,siku moja nika kazwa sana usiku,nika-amsha big bro anipeleke choo lakini akasema zii....sasa nikajifanya okwonko nikafungua mlango usiku kitu saa saba hivi...lakini hio Giza ilikuwa noma na madoggy kuwika wika..nikajua ni ngori kuenda choo...idea ikacome kwa brain ni shonde kwa varanda doggy zitakula hio shonde(YANI MAVI YA MINE)....so nika toa toja nika shonde.and went back to bed....

morning naskia huko nje nani 'alikunia kwa varanda' nikajua plan imeback fire...mbwa haikula mavi ya mine....
nilichapwa na kuchukuwa hio mavi asbuhi kila mtu akiona....never again kunia kwa varanda

dog_poo20cleaning.jpg
.

NEVER AGain poop kwa varanda
 
Si alikazwa sana asubuhi mnabisha nini sasa?sahihisheeni basi nyie kama mnaona mavi ya bwabwa yanaliwa na mbwa...USILOLIJUA LITAKUSUMBUA..USHAURI KWA JAMAA ACHA KUKAZWA USIKU MZEE MANA ANAZ INALEGEA NA KUMWAGA VARANDANI...
 
nilikuwa young boy in the hood,siku moja nika kazwa sana usiku,nika-amsha big bro anipeleke choo lakini akasema zii....sasa nikajifanya okwonko nikafungua mlango usiku kitu saa saba hivi...lakini hio Giza ilikuwa noma na madoggy kuwika wika..nikajua ni ngori kuenda choo...idea ikacome kwa brain ni shonde kwa varanda doggy zitakula hio shonde(YANI MAVI YA MINE)....so nika toa toja nika shonde.and went back to bed....

morning naskia huko nje nani 'alikunia kwa varanda' nikajua plan imeback fire...mbwa haikula mavi ya mine....
nilichapwa na kuchukuwa hio mavi asbuhi kila mtu akiona....never again kunia kwa varanda

dog_poo20cleaning.jpg
.

NEVER AGain poop kwa varanda

makubwa hayo kaka kukazwa usiku sana,anasi hulegea ooooooh mie simo...mbwa lazima akimbie mavi ya aliyekazwa mkuu acha mchezo.
 
Hivi wabongo vipi? Naona mmekomalia kukazwa tu. Kwani mtu anakazwa? Huyo jamaa enzi hizo alibanwa na mavi ndo akashonde kwa varanda
 
Ulikazwa sana usiku heheheheettetete

hahaha.kimbweka umenikumbusha jana nikiwa na marafik zangu 2nawahi sehemu ila walikua wanajikokota nikawaambia oyaa hebu kazaneni banaa tunachelewa.karibu wanitoe uhai.hik kiswahili vp tena???
 
Back
Top Bottom