Mwalimu achanganyikiwa kwa jibu la swali lake mwenyewe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu achanganyikiwa kwa jibu la swali lake mwenyewe!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Judgement, Nov 28, 2011.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Darasa linaendelea na kipindi, na mara ukafika muda wa maswali, mwalimu wa kiswahili, akitanguliza maelezo akisema "wanafunzi na sasa atasimama kila mmojawenu atakua anataja neno au jina la kitu ambalo liwe na maana ya kimbele na kinyume (yaani ukilisoma kikawaida lilete maana na ukilisoma ukilisoma kutoka mwisho kuja mwanzo pia lilete maana) mf. :
  MACHO- CHOMA
  PAKA- KAPA
  Hivyo maswali yakaanza ikawa mwanafunzi akitaja mwl anageuza
  Mwl : Haya Juma unaanza.
  Juma : TATU
  Mwl : TUTA very good kaa chini anaefata Asha
  Asha : BATI
  Mwl : TIBA vizuri kaa anaefata John
  John : KABA
  Mwl : BAKA good anaefata Mussa
  Mussa : SHIMO
  Mwl : MOSHI welldone kaa, Mary malizia la mwisho
  Mary : ROMBO
  Mwl : kimyaa
  Mary : Mwl mbona kimyaa narudia ROMBO
  Mwl : eti ulikua unasemaje? Mmmh unasema?
  Mary : una maana mwl nimerudia mara mbili uko kimya ndiyo nijue nimekosa au?
  Mwl : kipindi kimeisha
  Mwalimu alitoka kasi kama mgonjwa anaewahi kung'oa jino!
   
 2. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  lilikuwa somo gani hilo..!?
   
 3. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,069
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Duuuuuuh! Balaaaaaaaaaa!
   
 4. lucky j.rhymes

  lucky j.rhymes Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mitoto ya siku hizi ndo ilivyo inafikiria kuliko uwezo wao wa kawaida badala yafikirie kugundua vitu vizuri yanafikilia utumbo.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,472
  Likes Received: 9,871
  Trophy Points: 280
  nadhani ni lile somo la dini
   
 6. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,500
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kwani hapo mtoto amekosea ama amepatia
  mwl: excellent
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Mkubwa umevaa miwani ya mbao! Unauliza vumbi stoo? "mwalimu wa kiswahili" ungetegemea afundishe Biology!?
   
 8. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,227
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  huyo mary hana nanii
   
 9. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,564
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  thanx nalala uzuri sasa baada ya kucheka kazi zilikuwa nyingi leo
   
 10. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,528
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  hahahaha mwalimu mkimbiaji. Nalog off
   
 11. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,417
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  mwandiko.
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,358
  Likes Received: 11,135
  Trophy Points: 280
  duhhh hii noma
   
 13. k

  kisesa Member

  #13
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 30, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  safi hiyo
   
 14. Clemoo

  Clemoo Member

  #14
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hy nzur aisee...dah umetsha.
   
 15. S

  Senator p JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ningesema km lilivyo kinyume c ..... Eeeh hvyo hvyo mbroo
   
 16. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mavazi (mavaaji)-=-- mavuzi (mavuaji)
   
 17. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,973
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  Kabla sijachangia. Ilikuwa darasa la ngapi mkuu.
   
 18. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #18
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hili litakuwa ni somo la lugha, inamaana mary wote ni viazi hivi.nukta
   
 19. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #19
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,564
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sayansi kimu
   
Loading...