Umdhaniaye sie kumbe ndiye...mh!

Umdhaniaye sie kumbe ndiye...mh!

ZeMangi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
436
Reaction score
33
Wana JF,ktk mishemishe za hapa na pale mara jamaa m1 kapita na eskudo yake akanirushia matope bhana,jamaa kasimamisha gari na kushuka ili kuniomba msamaha,mm kwa hasira nikaanza kumkoromea,jamaa akaanza kujitetea "ooh...sasa jamaa yangu kuwa mpole naomba unisamehe"mm nikazid 2 kumkoromea, jamaa akajiongeza"ndg yangu kuwa muelewa hata wewe inaweza kukutokea"nikazidi kumkoromea jamaa akasema "ooh....hii kali leo lazima niitoe kwenye jamii forums"na mm hapo nikamuuliza kwa hasira"kwani ww unatumia jina gani kwenye kwenye jf?"jamaa kwa woga akaniambia "natumia ****"kwa kweli jina alilonitajia mhh...na mambo anayochangia humu...huwezi kuamini bonge la mstaarabu mtaani
kwa kweli thiwezi kutaja a.k.a ya jamaa humu kwani hata yenyewe ni kichekesho tosha,au sijui nitaje?ila ngoja nithubiri kidogo,nitataja baaadae aithee.
 
Sasa kama humtaji unataka sisi tufanyeje? how is it a joke?
 
kwa hiyo thatha ndo huwez kuthubiri mpaka baadae?thatha ngoja nimtaje thatha...anaitwa 'wewe'ushamjua?kama una hasira kula moto
 
Wana JF,ktk mishemishe za hapa na pale mara jamaa m1 kapita na eskudo yake akanirushia matope bhana,jamaa kasimamisha gari na kushuka ili kuniomba msamaha,mm kwa hasira nikaanza kumkoromea,jamaa akaanza kujitetea "ooh...sasa jamaa yangu kuwa mpole naomba unisamehe"mm nikazid 2 kumkoromea, jamaa akajiongeza"ndg yangu kuwa muelewa hata wewe inaweza kukutokea"nikazidi kumkoromea jamaa akasema "ooh....hii kali leo lazima niitoe kwenye jamii forums"na mm hapo nikamuuliza kwa hasira"kwani ww unatumia jina gani kwenye kwenye jf?"jamaa kwa woga akaniambia "natumia ****"kwa kweli jina alilonitajia mhh...na mambo anayochangia humu...huwezi kuamini bonge la mstaarabu mtaani
kwa kweli thiwezi kutaja a.k.a ya jamaa humu kwani hata yenyewe ni kichekesho tosha,au sijui nitaje?ila ngoja nithubiri kidogo,nitataja baaadae aithee.

pumbav zako, yani kukurushia vile vitope viduchu ndo umeamua uje kunidhalilisha humu jamvini?
 
Nilikuwa nasubiri ajilete mwenyeeewe....anaitwaaa...aagh.! a.k.a yake ndo inanitoka..ila nitakumbuka tu.
 
Wana JF,ktk mishemishe za hapa na pale mara jamaa m1 kapita na eskudo yake akanirushia matope bhana,jamaa kasimamisha gari na kushuka ili kuniomba msamaha,mm kwa hasira nikaanza kumkoromea,jamaa akaanza kujitetea "ooh...sasa jamaa yangu kuwa mpole naomba unisamehe"mm nikazid 2 kumkoromea, jamaa akajiongeza"ndg yangu kuwa muelewa hata wewe inaweza kukutokea"nikazidi kumkoromea jamaa akasema "ooh....hii kali leo lazima niitoe kwenye jamii forums"na mm hapo nikamuuliza kwa hasira"kwani ww unatumia jina gani kwenye kwenye jf?"jamaa kwa woga akaniambia "natumia ****"kwa kweli jina alilonitajia mhh...na mambo anayochangia humu...huwezi kuamini bonge la mstaarabu mtaani
kwa kweli thiwezi kutaja a.k.a ya jamaa humu kwani hata yenyewe ni kichekesho tosha,au sijui nitaje?ila ngoja nithubiri kidogo,nitataja baaadae aithee.
ndo nini sasa?joke yako haina maana iyo chukua tym.
 
Ungekuwa karibu yangu ningekutandika bonge la m-bao. Nadhani ungezimia.
 
hee.....kabla ya hapo mm ningekudunga sindano ya uji wa moto mpk ulainike
 
Back
Top Bottom