Kumbe baba yake Dk.Slaa alikuwa mpishi wa DC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe baba yake Dk.Slaa alikuwa mpishi wa DC

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mshume Kiyate, Nov 30, 2011.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Great Thinkes..

  Leo nimemsikia Dk.Slaa akielezea kwa ufupi maisha yake pamoja na miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.

  Anasema wakati wa ukoloni baba yake alikuwa mpishi wa DC.
  Source; Clouds fm
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ilikuwa miongoni mwa kazi za heshima sana enzi hizo.
   
 3. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Clds wehu 2
   
 4. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  haya,ahsante kwa taarifa. Nalog off
   
 5. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  na wewe baba yako alikuwa nani?   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Bora kipi baba mpishi au mshika jembe(Pinda Sr)?
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Mie nimesomeshwa kwa kuuza karanga za sh. 10 na kutembeza ndizi mtaani.
   
 8. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ndiyo maana Slaa alikataa kwenda kumuona Rais JK na wenzake.
   
 9. senior citizen

  senior citizen Member

  #9
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Clouds wamekosa mambo ya kujadili sasa! Mbona hawaongelei upuuzi wanaoufanya ukiwa mtu makini huwez ckilza clouds.
   
 10. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,813
  Likes Received: 2,586
  Trophy Points: 280
  Hussein Onyango Obama(1895-1979). Before settling down to work as cook for missionaries in Nairobi he was a traveller. Visited Europe, india and lived for a while in Zanzibar where he converted from Christinity to Islam. Obama family history speaks volumes of education and social mobility plus American Dream.
   
 11. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  unatoka Rolya au Mugumu?watoto wako uliozaa kwenu kabla ya kukutana na huyo dada wa mjin unawatunza?
   
 12. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #12
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Ni vema sana kufahamu historia ya familia ya kiongozi. Hususan baada ya kufahamu ya kwake yey, atueleza kwanza profile lake yeye: aliacha achaje u-padri, ilikuwa kuwaje akashutumiwa kuzalisha mke wa mtu, ilikuwa kuwaje akaachana na mkewe, amewahi kufanya kazi gani zaidi ya u-padri kabla ya siasa. Kazi za upishi wa baba yake kwa sasa hazitusaidii bila kumjua yeye kiongozi.
   
 13. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #13
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
   
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #14
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,135
  Likes Received: 6,629
  Trophy Points: 280
  mambo mengine mmh,
  sijui hata niseme nini,
  wengine hata hizo kazi za wazazi wetu ni siri yetu wenyewe.
   
 15. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #15
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kuna siku humu tutajadili kuwa leo DR SLAA kala maharage na ugal
   
 16. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #16
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,577
  Likes Received: 1,084
  Trophy Points: 280
  Matusi hayajengi hata kama mmeingia kwa vivuli humu ndani
  matusi ni kiwango cha juu kabisa cha kuonyesha ni kiasi gani
  mtu amekosa busara. Jirekebisheni!
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Sababu baba yake alikuwa mpishi?

   
 18. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #18
  Nov 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Hivi mtu baba'ke kuwa mpishi ni tusi?
   
 19. E

  Edwin Chapa Member

  #19
  Nov 30, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na je baba yake JK alikuwa anafanya kaz gani?....Just Now via Nokia tochi
   
 20. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #20
  Nov 30, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Clouds walivyo ma...... huenda vichwani mwao walidhania wanamchafua kweli kile kiredio na shangaa sana sijui kwanini msichana wangu wa kazi hachoki kukisikiliza??
   
Loading...