asubuhi sanaaa dingi mmoja m2 mzima anaoneka kushikwa na hasira sana huku mkono wa kulia kashika furushi la bakora na kushoto kamshika kuku,mara jirani yake anatokea na kumkuta katika hali hiyo...
"hivi we "PIMBI"Nani?anayekuchanganya uko JF?tangu Asubui paka saa sita za Usiku uko Jf,ok chaguwa moja unipe User name na paswedi?au uendele na Ujinga wako unaoitwa Jf?",Jamani naombeni msaada...
the president was having sex with his wife while thinking the name to give his country..sudenly the wife asked..
IS IT IN DEAR..the president replied yes it is INDIA
One night, President Obama and his wife Michelle decided to do something out of routine and go for a casual dinner at a restaurant that wasnt too luxurious. When they were seated, the owner...
1. Mzee mmoja aliingia kwa daktari na kuanza kulalamika.
"Daktari, mimi nina matatizo. Cha kwanza, ninakwenda vizuri bila shida. Cha pili, ninaanza kujisikia kuchoka. Cha tatu, ninakuwa...
Elvis prisley,John kennedy, Robert kennedy,chacha wangwe,dr Omar ali Juma,brenda fassie ,michael jackson,kim jong il,Tupac shakur Amina chifupa..the list goes on .....why .Today Regia Mtema RIP.
Jamani wanajamii mimi naona muda unaisha na watu wanaanza kuzeeka juzi juzi tu tulikuwa na mzee wa ruksa Mh Mwinyi tukaja tukawa na Mh. Mkapa akamaliza miaka kumi yake leo tuko na Kikwete ambaye...
Kuna ukweli wowote eti ukiwa Mheshimiwa pale mjengoni nilazima uwe umekamilika lazima uwe na Capacitor??(HIRIZI)ya ukweli Vinginevyo haliyako inaweza kuwa mbaya!:alien:
Unaamini ukituma sana sms zile wanazokata wastani wa shilingi mia tano au ile inayokaribia karibia utashinda? Hujaskia kesi kama vile mtu anachonga na wafanyakazi wa huko ili utangazwe mshindi...
Nimekuwa nabadilisha sana avatar kwa sababu mbalimbali zikiwemo kufanana na baadhi ya watu na wakati mwingine kutozipenda zile nilizoweka baada ya muda. Sasa naomba msaada wa mawazo wa avatar...
Hivi binadamu wa kawaida unapata wapi muda??kuandika ulichokiandika na mwisho ukakumbuka kuweka neno,MIA,MX,NALOG OFF!!Kwa ninavyojua siyo kwamba umetengeneza kama sign yako bali nilazima uandike...
Nimeshindwa hata kulala namuwaza huyu mtu!Nachoomba ni kimoja tu kutoka kwake,ataje jinsia yake kama ni mwanamke nitaendelea kumuapreciate kama kawaida, na kama ni mwanaume walahi tena napeleka posa.