Mikogo uswahili#1

Mikogo uswahili#1

selestin john

Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
67
Reaction score
8
asubuhi sanaaa dingi mmoja m2 mzima anaoneka kushikwa na hasira sana huku mkono wa kulia kashika furushi la bakora na kushoto kamshika kuku,mara jirani yake anatokea na kumkuta katika hali hiyo ikabidi amuulize kulikoni mwenzangu kuku mkononi na mibakora yule mzee akamjibu"yaani we acha 2 huyu kuku anapenda sana ujana yaani hataki kutamia kabisa mayai yake kwa sababu ya mapenzi kajaa umalaya mtupu hakuna jogoo hapa mtaani kwe2 asiyemchenga huyu,nataka nimuadabishe.
 
mzee alikosea, ilifaa kumuadabisha kwa kumnywa supu na sio kwa kuchapa bakora.
 
Angemletea jogoo la maana akamfungisha nalo ndoa ya mkeka tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom