Kwakweli hivi vitu vinakera!!!sijui wewe!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,468
Hivi binadamu wa kawaida unapata wapi muda??kuandika ulichokiandika na mwisho ukakumbuka kuweka neno,MIA,MX,NALOG OFF!!Kwa ninavyojua siyo kwamba umetengeneza kama sign yako bali nilazima uandike kila unapoposit bandiko lolote!!Je hamuoni usumbufu??Kazi mnayo labda ni barehe mtaacha!mkikua!
 
bwana misosi sasa naimba NITOKE VIP
siku nyingi najiulizaaaa

endelea.....
 
Hahaha! Na wenyewe watakuwa wanakushangaa unakerekaje na signature ya mtu? Una nafasi eh?
 
tusibiri waje watoe majibu! hope wanamaana yao!
 
Hahaha! Na wenyewe watakuwa wanakushangaa unakerekaje na signature ya mtu? Una nafasi eh?
Bora iwe signature basi yani kilakitu utaona anamalizia mia,mix nalogoff!sasa nini hiyo!!
 
Potezea. . .
Hatuwezi wote tukafanana kifikra, kimatendo wala kiubunifu.
 
wewe kinakukera nini hapo!!!

  • user-online.png
    Lizzy

    Today 15:18
    #7
    JF Premium Member Array

    Join Date : 25th May 2009
    Location : UngaLTD!
    Posts : 17,015
    Rep Power : 6795

    [h=2]
    icon1.png
    Re: Kwakweli hivi vitu vinakera!!!sijui wewe![/h]
[h=2][/h]
Potezea. . .
Hatuwezi wote tukafanana kifikra, kimatendo wala kiubunifu.
​
 
Sijakusoma hapo. .
Kinachokukera kinahusiana vipi na ulichobandika kuhusiana na mimi?
 
Huyo niliyekuwekea kasema:
Potezea. . .
Hatuwezi wote tukafanana kifikra, kimatendo wala kiubunifu.
 
Hivi binadamu wa kawaida unapata wapi muda??kuandika ulichokiandika na mwisho ukakumbuka kuweka neno,MIA,MX,NALOG OFF!!Kwa ninavyojua siyo kwamba umetengeneza kama sign yako bali nilazima uandike kila unapoposit bandiko lolote!!Je hamuoni usumbufu??Kazi mnayo labda ni barehe mtaacha!mkikua!
Si bure unalako jambo....
 
Huyo niliyekuwekea kasema:
Potezea. . .
Hatuwezi wote tukafanana kifikra, kimatendo wala kiubunifu.
Sasa wewe sindie unaetakiwa kupotezea ama? Maana huo ushauri nilikupa wewe alafu na wewe unamtupia Gango.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom