Kuna ukweli wowote ule??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Kuna ukweli wowote eti ukiwa Mheshimiwa pale mjengoni nilazima uwe umekamilika lazima uwe na Capacitor??(HIRIZI)ya ukweli Vinginevyo haliyako inaweza kuwa mbaya!:alien:
 
Inasemekana.
Ukweli wanaujua wahusika wenyewe na waganga wao kama wanao.
 
94 percent ya wa TZ ni washirikina
ipo research ililetwa humu...

By washirikina wanamaanisha nini? Kama ni kuamini juu ya uwepo wa supernatural power l concur with results! Ila kama ni utegemezi wa waganga wa jadi kwa kufanya mambo yaende sawa, sikubaliani na hiyo percent!
 
ukishaamini kuwa unaweza kurogwa
hapo automatically wewe ni mshirikina hata kama huendi kwa waganga

kwa sababu kuamini kwako kunatengeneza biashara za ushirikina indirectly.

kumbuka hata wachungaji wanaojifanya wana tibu,wapo baadhi ni washirikina
ingawa in public wanapinga
 
angekuwepo EMT angetupa link
hiyo research iililetwa humu...

Tatizo sio link, tatizo ni kuamini kila kinachosemwa kimefanyiwa utafiti hata yale yasio na uhalisia/yanayokosa ukweli na nguvu ya kumwaminisha mtu jambo husika.
 
94 percent ya wa TZ ni washirikina
ipo research ililetwa humu...

thats not true!!! ni maneno ya mtaani tu....!! by saying 94% it means katika kila watu 100 ni 6 tu si washirikina??????

am doughting with your figure!! pleaze proove
 
ukishaamini kuwa unaweza kurogwa
hapo automatically wewe ni mshirikina hata kama huendi kwa waganga

kwa sababu kuamini kwako kunatengeneza biashara za ushirikina indirectly.

kumbuka hata wachungaji wanaojifanya wana tibu,wapo baadhi ni washirikina
ingawa in public wanapinga

Boss mtu kuwa "mshirikina" maana yake anashiriki ushirikina na sio anaamini kwamba ushirikina unaweza ukawa upo. Sio kila anaeamini kitu flani kinawezekana ni mfuasi wa hicho kitu.
 
Tatizo sio link, tatizo ni kuamini kila kinachosemwa kimefanyiwa utafiti hata yale yasio na uhalisia/yanayokosa ukweli na nguvu ya kumwaminisha mtu jambo husika.

sawa lakini ungeisoma hiyo tafiti ungeelewa
mfano
je wewe ukiambiwa nyumba ina mashetani..unadharau au unaweza kwenda kuishi ndani?
vitu kama hivyo
au unaweza kuwa huamini nguvu ya ushirikina
lakini wazazi wako wanakupeleka kwa waganga toka mdogo
na wewe unaenda ili kuwaridhisha tu but huamini,,,but still ni mshirikina
 
Ukienda ndio unakua mshirikina kwasababu unashiriki, hata ukijifanya huamini.

Binafsi hua nasema kama kuna mtu ana jeuri ya kuniloga na aniloge. Ila tukirudi kwenye swala la imani. . huwezi kuamini kuna Mungu bila kuamini kuna shetani, na shetani mwenyewe hakosekani kwenye mambo ya giza. Kitakachokutambulisha kama mshirikina/mlokole/mkristo ni ushiriki wako na kimoja ya hayo mawili na sio imani ya kwamba kipo au hakipo.
 
Kuna ukweli wowote eti ukiwa Mheshimiwa pale mjengoni nilazima uwe umekamilika lazima uwe na Capacitor??(HIRIZI)ya ukweli Vinginevyo haliyako inaweza kuwa mbaya!:alien:
Pamoja na hilo mkuu kwani huoni hata wale wanaopiga mapete makubwa mkononi! Tumezoea pete za ndoa,lakini siku hizi yanapachikizwa na yale mapete makubwa makubwa,tafakari!
 
Ahaaa inamaana yule mkulu aliyekuwa anavaa bonge la mcheni utadhani Lilywynne shingo mpaka ikapinda na watu wakahoji mbona cheni imelalia ubavu wa kushoto kwamaana haiko straight inamaana lilikuwa dudu kalivalisha?/angekuwa masikini tungeona linyuzi limekatisha??
 
Back
Top Bottom