Unforgettable death events...!

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Elvis prisley,John kennedy, Robert kennedy,chacha wangwe,dr Omar ali Juma,brenda fassie ,michael jackson,kim jong il,Tupac shakur Amina chifupa..the list goes on .....why .Today Regia Mtema RIP.
 
Nzaya zayado wa lipua lipua , Robert Ekwesi Mennsah,Jonathan Netanyahu.
 
Elvis prisley,John kennedy, Robert kennedy,chacha wangwe,dr Omar ali Juma,brenda fassie ,michael jackson,kim jong il,Tupac shakur Amina chifupa..the list goes on .....why .Today Regia Mtema RIP.
ati huyu jamaaa in red anataka kurudi? ati na balali wants to come back home?
 
ivi we duduwasha ushawahi kuwashwa wewe?au ndo umeanza leo?tangu lini YESU KRISTO akaitwa YESU YOSEFU KRISTO?



hahaha Daughter Sijiwashi! Kwani waweza kumtaja vipi bila kuweka hayo Majina kwani Kulikuwa na Mtu anayefanana nae kwa kila kitu wengi waliopata kuwaona pamoja walisema ni Mapacha hao Fuatilia kisa cha Yuda Msaliti! Na huyo Pacha aliitwa ''Tomaso''

, Yesu Alipozaliwa Shuleni huko Egypt alikuwa anaitwa Jesu yosefu na alipokuwa Israel aliitwa Yesu wa Mariam Sababu Yosefu alikili kuwa hakumzaa ki biological so Huko Jerusalem wengine walimuita Hivyo Yesu wa Mariam So Warumi (Italian) Walimuita Yesu wa Nazareth Mfalme wa Wayahudi na alipokufa ndio aliitwa majina kila aliyependa kumuita ila jina ambalo halikukosekana katika miito yake ni Yesu.

I know vingi kuhusu Bible Story.
Nikupe Siri yako pekee Kuna eighteen year katika maisha ya Yesu hayakuwekwa kwenye Bible!
Wamjua yule barnaba Mwizi aliandika injili nayo haikuwekwa kwenye bible...
Kuna maswali mengi yaliyokosa majibu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom