Nusu ya wanaume Tanzania ni wagumba

Wengi wanawachapa mimba wapenzi wao wakiwa form 2 hadi form 4, kwa hiyo siyo wagumba
 
Mimi sijaelewa ugumba maana yake nini "impotent"? au ni kitu gani
Mkuu ugumba si impotent, unapiga mzigo kama kawaida ila huwezi kutungisha mimba ama kuzalisha. tukapime sie ambao hatujapata watoto ili tusije ibiwa hapo baadae
 
Mkuu ugumba si impotent, unapiga mzigo kama kawaida ila huwezi kutungisha mimba ama kuzalisha. tukapime sie ambao hatujapata watoto ili tusije ibiwa hapo baadae

Duh! kama hivyo balaa

Labda machakula haya tunayokula na mafuta mafuta mengi, turudie ugali wa dona sasa
 
Kweli watoto mlionao wakwenu?

Ndiyo !
Watoto ni wetu,
kwa maana kama mimi mbegu zangu unfertilised or unproductive, na jirani yangu akam'mega mke wangu na mimba ikapitikana kupitia mbegu za jirani na jirani yangu ni Mtanzania (si raia wa nje)
Ndiyo kusema mtoto atakua wa Kitanzania !
Hivyo inafuta kauli yako kwenye Headin' ya Thread ! Kwamba waTz wengi wagumba!
 
Kaaazi kweli kweli.
Usitoe statistics usizo kuwa na ushahidi. Ni kosa kubwa kutoa dhana kama hiyo. Waweza anzisha sokomoko katika kila nyumba kwa kisingizio cha statistics zako. Tafakari. Kila anazaa ataona photocopy kwa mtoto. Labda wewe una tatizo hilo lakini sio 50% ya watanzania.
 
Ndiyo !
Watoto ni wetu,
kwa maana kama mimi mbegu zangu unfertilised or unproductive, na jirani yangu akam'mega mke wangu na mimba ikapitikana kupitia mbegu za jirani na jirani yangu ni Mtanzania (si raia wa nje)
Ndiyo kusema mtoto atakua wa Kitanzania !
Hivyo inafuta kauli yako kwenye Headin' ya Thread ! Kwamba waTz wengi wagumba!

Kekundu hako kaka....kekunduuuuuu...kanaumaaaaa!!!!
 
Wanaume tumedhalilishwa kwa kweli......this is unfair kabisa...gazeti la mwananchi limetukosea sana...
 
Kitanda hakizai haramu.

pcm ! Kitanda hakizai !
Lini ulikia kitanda ulisikia kina mimba?
Lini ulisikia hawa watoto wa kitanda ?
Tunaolalia virago, mikeka, mabox hatuzai !
Mbona sijawahi sikia kirago hakizai haramu ?
 
Hili ni janga la taifa ni hatari kwa maendeleo ya nchi!

Itabidi tu import vi shababi kutoka China au Japan nasikia jamaa wanakula sana matunda na majani.
 
Punguzeni kula Chips Mayai...

Tukianza kupimana DNA Test wengi wajiandae kubadirisha Sir Name zao maana koo zitaanza kujulikana upya tahadhari kwa wale walioona kaka na dada...

Kuna Familia Moja walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume Sasa mtoto akakua na akifikia umri wa kuoa babake akamshauri kijana wake atafute mchumba aoe basi kijana hakupata taabu mta wa pili tu alikuwa na demu akamfuata na kumleta home kwa dingi yake akimtambulisha... baba mtu ile kumuona tu akamuuliza kijana wake huyu si ndie binti wa mtaa wa pili? kijana akasema ndio baba'' mdingi akasema huyo binti ni dada yako hafai kuoa ila mama yako usimuambie... tafuta mwingine..kijana akaridhia..

Kijana akaleta Binti mwingine wa pili kumtambulisha binti mzuri kanona ...binti alipoondoka Baba mtu akamwambia mwanangu huyo binti si wa mtaa wa tatu nyuma? kijana akasema ndio baba... mdingi akamuambia huyo pia ni Dada yako nilitembea na mama yake miaka ya nyuma ndio akazaliwa usimuoe haifai tafuta mwingine na kumbuka nitaigharamia harusi yako ila mama yako asijue haya...

Kijana aka mmindi baba yake yaani kumbe anatembea na dada zake bila kujua basi akaenda kumueleza mama yake...kuwa wale ni ndugu zake ila baba hataki ujue Mama mtu kusikia hivyo akamuambia kijana wake haroooooooooooooo oh! Mwanangu usaiwe na wasi wasi kuwa unatembea na dada zako ao binti yeyote kati ya hao wawili umtakae kwani huyu pia si baba yako... baba yako ni yule mzee mwenye maduka mengi kule mtaa wa Saba tena nikimuambia atafurahi sana kuwa unataka kuoa...hata akijua haina Shaka ngoma Droo(Chelsea vs Manchester UTD)

Basi mama mtu akamuuliza kijana wake mwangangu ushachagua binti wa kuoa? kijana akasema
 
Nashindwa kushawishika kabisa na matokeo ya huo utafiti. Maprof wanatuzingua tu, mimi nasema suala hili tuwaachie wanawake wenyewe watufanyie utafiti, wao wanatujua vizuri zaidi.
 
He he heeeeeeeeee!!! halooooooooooooooooooooo!!!
Mkome kusema tunajaza choo kumbe na nyie
Hakunaga!!!
Big Up Mwananchi.
 
Back
Top Bottom