Dawa yake kwishapatikana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa yake kwishapatikana

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Inkoskaz, Feb 10, 2012.

 1. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Nchi hii bana,kumbe haki hamna mpaka MIGOMO?
  sasa wajiandae
  walimu,askari na wanavyuo wanataka haki zao dawa wameshaijua..
  waongoza ndege na meli nao...
  Wafanya biashara wa Tandale na kariakoo
  Wauguzi nao
  Wazabuni wa idara za serikali mashule na vyuo
  Wakandarasi nao
  Tanesco na DAWASCO nao
  Mahabusu nao kugomea kuja mahakamani
  Sijui Pinda atatokea tundu gani?
  Maumivu ya kichwa huanza polepole..Watch out!
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Na jf tumuandamie Mchungaji asije akatufungia bure.
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Mchungaji Getrude au Rev Masa?
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Inko bana haya kumbe dawa ni mgomo kweli umewaza mbali
   
Loading...