Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,352
Hii page imejaa post za siasa tuuu...
I wanna change something, kuna topic moja ipo jukwaa la chini kabisa, nataka niipaste kule kwenye fanpage yetu. Sasa hivi nakamilisha michakato ya kuomba ruhusa kwa mwenye post.
Unajua haya mambo ya kuwa na sura moja ndo yanatujengea uadui na Mama Mchungaji, hebu siku tubadili kibao hata mara moja, afu tuone matokeo.
Meet you in our Facebook fanpage...
Sawasawa?