Babu yangu MTAMBUZI leo nataka kuwatambua wazazi wangu.

TaiJike

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
1,483
666
Babu Shikamoo,
Kila kukicha na kuchwa unanisimlia hadithi za ujanani mwako ila hujawahi kunambia wazazi wangu ni kina nani na wako wapi? Sasa usiposema ntakusemea kwa Bibi unavyonipa ice cream ili nisimwambie wale wabibi wengine.
 
Nenda ukapime DNA ndo utatambua wazazi wako
 
Babu ana wake na watoto wengi wengi ndo maana nachanganyikiwa toka nikiwa mtoto ananilea ye na bibi mkubwa tu. DNA itaonyesha mi ni mjukuu wa MTAMBUZI.
 
Mie nawajua waliokufundisha kuuliza hayo maswali, Cantalisia, Husninyo & King'asti at work.............!
Sasa ulishindwa kunivumilia nirudi nyumbani uniulize na badala yake unanianika mchana kweupe hivi, hiii ni Dhereu.........!
 
Babu leo mwezi na zaidi sikuoni sijui unarudi saa ngapi nilimuliza bibi kasema umesafiri ila nilipita kwa yule bibi wa pale kwenye kona akasema upo hujasafiri ndo maana nimekufata kwenye kahawa leo. usinichape basi ili nami nisiseme kwa bibi.
 
dah......Kongosho bana hua unanifikisha kwa majibu yako msongo wote kushney.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom