Lets socialize. . . .

How are you today?
Siku yako yako imeanza vizuri?
Au vibaya? Inakwendaje?
Je kuna lililokufurahisha au kukukera leo hii?
Kuna lipi ungependa ku share with us today...?
Lets socialize. . . .

Tuanzie kwako, siku ya leo kwako inaendaje?
 
inaenda vizuri sana kichomiz... Nimeamka feeling fresh.....Sema tu I went for jogging nikakutana na mbwa wamesimama nyuma ya geti la watu wakaanza kuja upande wangu i had to see my way through the unknown bushes...mmmh!
 
How are you today?
Siku yako yako imeanza vizuri?
Au vibaya? Inakwendaje?
Je kuna lililokufurahisha au kukukera leo hii?
Kuna lipi ungependa ku share with us today...?
Lets socialize. . . .

Amyner,

I am doing fine
Siku yangu imeanza vizuri
Hamna aliyenifurahisha , wanakera watu wanaopaki malory hovyo hovyo barabarani asubuhi tunalazimika kupita njia za panya.
Napenda ku share good news kwamba mwaka 2012 utakuwa wa mafanikio sana kwa watu watakaofanya kazi kwa bidii :lol:

Na wewe tuambie siku yako basi
 
Sio kilichonifurahisha mie pekee !
Nahitaji ku'share ambacho kitakufurahisha na wewe ama kuku'bore .
- Hivi hujafurahishwa na kusikia muda huu Mizengo anaongea na waganga ?
- Aidha huku katika House Anne Keshatujuza leo lazima kielewe waganga Vs watawala.
Hili nalo lisikufurahishe ?
- Jana Zambia kumchapa Ghana isikukonge kweli ?
- About kero leo niko rumba (bankrupt) nimechacha ! Sasa ungenitumia walau Jero au Buku, kero liniepuke.
 
yaani Mau ndio Tanzania yetu hii.. Mtu una haraka zako unashtukia mtu anakuja anakuwekea kau zibe.. Mi kuna siku nlipewa jibu hilo nikabaki mdogo...
Nliambiwa "kama una haraka si ungeondoka jana.." mmh nikasema ngoja nikae kimya.

Huu mwaka wa neema eti eeh? Maana we sio wa kwanza kumsikia anasema huu mwaka utakuwa wa mafanikio...
 
inaenda vizuri sana kichomiz... Nimeamka feeling fresh.....Sema tu I went for jogging nikakutana na mbwa wamesimama nyuma ya geti la watu wakaanza kuja upande wangu i had to see my way through the unknown bushes...mmmh!

Ok hata mie siku yangu inaenda vizuri,kwani nimeamka nikiwa na afya njema yaani niko safi kila idara.
 
Mie leo na nguvu
Baada ya ndugai kukubali kujadili mgomo wa madaktari

Afu na furaha zaidi
Mangi kakubali kunikopesha maharage, hadi raha.
 
Sio kilichonifurahisha mie pekee !
Nahitaji ku'share ambacho kitakufurahisha na wewe ama kuku'bore .
- Hivi hujafurahishwa na kusikia muda huu Mizengo anaongea na waganga ?
- Aidha huku katika House Anne Keshatujuza leo lazima kielewe waganga Vs watawala.
Hili nalo lisikufurahishe ?
- Jana Zambia kumchapa Ghana isikukonge kweli ?
- About kero leo niko rumba (bankrupt) nimechacha ! Sasa ungenitumia walau Jero au Buku, kero liniepuke.

sasa upo broke lakini vocha ya kuingia internet umepata.. Halafu we judgement weweeee....
 
Human beings are social animals.

That is what keeps them at the top of the food chain.By socialising we can harmonise our activities.

AlhamduliLLahi Ladhii ahyana baada ma amatana wa ilaykal nushur. All Praises to my creator who resurrected me after my half death(sleep) and have begun my daillies. I am fine and looking forward to a fine day. So whats UP?
 
Mie leo na nguvu
Baada ya ndugai kukubali kujadili mgomo wa madaktari

Afu na furaha zaidi
Mangi kakubali kunikopesha maharage, hadi raha.

hehehe kwahiyo leo full maharage mezani... Nani mpikaji? Au ndo inabidi kufanya reference ila thread ya lizzy?
 
Human beings are social animals.

That is what keeps them at the top of the food chain.By socialising we can harmonise our activities.

AlhamduliLLahi Ladhii ahyana baada ma amatana wa ilaykal nushur. All Praises to my creator who resurrected me after my half death(sleep) and have begun my daillies. I am fine and looking forward to a fine day. So whats UP?

halafu doc itabidi unipe appointment nataka kuja kufanya medical check up.. Au umegoma?
 
Mie niko poa,
Sina kilichonikera mpaka sasa na naomba mungu kisitokee kabisa,
 
Mambo SL? Juzi we na shosti yako mrs ma2mbo mlikuwa na mashambulizi mpaka nikashindwa kukusalimu.
Mie mzima mwaya! ...

afu ungejua nilikuwa sijui A wala B, niliamua kumshabikia manake alikuwa na uchungu afu hana anaemsapoti lol..

Wewe wajionaje na khali mpendwa?
 
yaani Mau ndio Tanzania yetu hii.. Mtu una haraka zako unashtukia mtu anakuja anakuwekea kau zibe.. Mi kuna siku nlipewa jibu hilo nikabaki mdogo...
Nliambiwa "kama una haraka si ungeondoka jana.." mmh nikasema ngoja nikae kimya.

Huu mwaka wa neema eti eeh? Maana we sio wa kwanza kumsikia anasema huu mwaka utakuwa wa mafanikio...

Eeeh bana huu mwaka wa mafanikio lakini kwa watakaochakarika :lol:

Lakini umezungumza swala wewe kuwa mazoezi pia nina mpango wa kula tizi kali sana tatizo muda bana!!!:hatari:
 
How are you today?
Siku yako yako imeanza vizuri?
Au vibaya? Inakwendaje?
Je kuna lililokufurahisha au kukukera leo hii?
Kuna lipi ungependa ku share with us today...?
Lets socialize. . . .
Am gud
siku imeanza vibaya
mtu kaniweka mahala toka saa 2.30 mpka sa hv
yupo ofisini kakausha tu
ndo naondoka na mm nw
akiingia anga zangu nami namweka
 
Mie mzima mwaya! ...

afu ungejua nilikuwa sijui A wala B, niliamua kumshabikia manake alikuwa na uchungu afu hana anaemsapoti lol..

Wewe wajionaje na khali mpendwa?

Mi mzima shosti.. Najisikia vizuri sana hopefully my day stays that way...
 
Back
Top Bottom