Ndivyo itakavyokua..!

ZeMangi

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
436
33
Siku ya mwisho nitakapokabidhiwa kitabu cha hukumu huko Mbinguni,
MUNGU:Mangi shika kitabu hiki,wasome wale watakatifu wapite mkono wa kulia...na wale watenda maovu mkono wa kushoto kwenye ziwa la moto.
MANGI:Sawa bosi,
Wana JF wote walioshiriki kuwaponda wachaga....KUSHOTO....,
wana CCM wote KUSHOTO....
Wachaga wote KULIA...
Wana CHADEMA KULIA.,
Osama KULIA...
Obama KUSHOTO...
Saddam KULIA...
J.K KUSHOTO...
Slaa na kabwe KULIA...
Ila nafasi ya kuingia uzimani ipo,ni wewe tu kunitoa na kiasi chochote cha fedha
 
Kuna watu mna vipaji vya kuchekesha wenzenu! Sikutegemea kucheka usiku huu! Majirani ambao hata sijawaona siku kadhaa wamekuja kunigongea
 
Siku ya mwisho nitakapokabidhiwa kitabu cha hukumu huko Mbinguni,
MUNGU:Mangi shika kitabu hiki,wasome wale watakatifu wapite mkono wa kulia...na wale watenda maovu mkono wa kushoto kwenye ziwa la moto.
MANGI:Sawa bosi,
Wana JF wote walioshiriki kuwaponda wachaga....KUSHOTO....,
wana CCM wote KUSHOTO....
Wachaga wote KULIA...
Wana CHADEMA KULIA.,
Osama KULIA...
Obama KUSHOTO...
Saddam KULIA...
J.K KUSHOTO...
Slaa na kabwe KULIA...
Ila nafasi ya kuingia uzimani ipo,ni wewe tu kunitoa na kiasi chochote cha fedha
Teh eth,nice stuff & agreed.
 
Utakaowapeleka kushoto ni wengi. Demu aliyekupiga kibuti kushoto, HR aliyokutosa job, kushoto... Aliyekunyang'anya demu wako, kushoto,,,
 
Siku ya mwisho nitakapokabidhiwa kitabu cha hukumu huko Mbinguni,
MUNGU:Mangi shika kitabu hiki,wasome wale watakatifu wapite mkono wa kulia...na wale watenda maovu mkono wa kushoto kwenye ziwa la moto.
MANGI:Sawa bosi,
Wana JF wote walioshiriki kuwaponda wachaga....KUSHOTO....,
wana CCM wote KUSHOTO....
Wachaga wote KULIA...
Wana CHADEMA KULIA.,
Osama KULIA...
Obama KUSHOTO...
Saddam KULIA...
J.K KUSHOTO...
Slaa na kabwe KULIA...
Ila nafasi ya kuingia uzimani ipo,ni wewe tu kunitoa na kiasi chochote cha fedha
FF, Maleria sugu, Rejeo, .............. Hawa hata kwenye mkutano wa hukumu hawatakuwepo maana watakuwa washangulia kushoto
 
Siku ya mwisho nitakapokabidhiwa kitabu cha hukumu huko Mbinguni,
MUNGU:Mangi shika kitabu hiki,wasome wale watakatifu wapite mkono wa kulia...na wale watenda maovu mkono wa kushoto kwenye ziwa la moto.
MANGI:Sawa bosi,
Wana JF wote walioshiriki kuwaponda wachaga....KUSHOTO....,
wana CCM wote KUSHOTO....
Wachaga wote KULIA...
Wana CHADEMA KULIA.,
Osama KULIA...
Obama KUSHOTO...
Saddam KULIA...
J.K KUSHOTO...
Slaa na kabwe KULIA...
Ila nafasi ya kuingia uzimani ipo,ni wewe tu kunitoa na kiasi chochote cha fedha
Tehe tehe tehe tehe tehe tehe!!!! Ze Mangi nakupa buku tano na kwenye uchaguzi nitapigia CDM, niambie niende wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom