Hebu vuta picha unaamka asubuhi unakumbana na hayaa;
1.Umebadilika jinsia.
2.Baada ya kubadilika unajikuta tajiri.
3.Alafu siku hiyo umetembelewa na wazazi wako kwako,au huko na mwenza wako wa...
Hi Lilyflower,
This is a very special day to you and us!
May you enjoy, and use this day to look where you come from, where you are, and where you are to go!
May you also Live Longer to see the...
Alikuwa mjapan muamerica na muafrica. wanaoga ktk bafu la wazi
mara ikasikika sauti za loaded alarm...american akasema nna MICROCHP page in my arm so network ime react.
mara ikackika saut ya cm...
Kama MUNGU angekupa nafasi ya kuchagua kitu kimoja kiondolewe kwenye mwili wako, je wewe ungechagua nini?...... Mimi ningechagua niondolewe kukata gogo..
Distance love ...
Kama binadamu viungo vyote vya mwili viko active na nyie mko mbali mbali labda mnaonana lets say kila baada ya 6month to 1 year
Kuna wakati unajisikia ku- do ile maneno na...
jana tulikuwa kanisani kanisa kuu Arusha lutheran,wakati kwaya inaimba nilimwona mtu amekaa benchi la mbele yetu anasoma kitu kwenye simu yake,kutoa macho vizuri kumbe yupo Jamiiforum,kuangalia...
Nilipochomeka mara ya kwanza ukachomoa,Nikajua hujazoea,Nikachomeka mara ya pili,ukachomoa tena ikabidi nikuvizie ukiwa umelala uliposhtuka ukachomoa tena hapo ndipo nilipoamua nikuache maana...
Jf kwangu ni zaidi ya burudani, ni shule na darasa pia. Naombeni maoni yenu nini maana ya majina haya na lipi linafaa zaidi kumwita mtoto wa kiume.
1. Prosper
2. Hans
3. Jay
4. Junior
5. Johnson...
Wakati nikiwa mdogo,nilikuwa nikisimuliwa Hekaya mbalimbali kuhusu Kifimbo cha Hayati Baba wa Taifa-Julius Nyerere.
Kwamba kilikuwa na Maajabu ambayo baadhi ya watu waliokuwa wakifanya kazi nae...
Jana kuna mchungaji mmoja katika mahubiri yake huwa anachangamsha sana waumini wake,kwa mfano utakuta katikati ya mahubiri utasikia "..Muambie jirani yako..Yesu anakupenda!" basi kwa furaha na...
Jamaa 1 alikuwa akisafiri akapumzika chini ya muembe. Alipoangalia juu alisema moyoni "mungu kwel amekosea kuweka maembe madogo juu wakat maboga makubwa yako chini ardhini" Akapitiwa na usingizi...
Leo hii watu mnalalamika kuhusu wachaga na tabia zao. Amini nawaambieni tamaa za hawa jamaa hazijaanza leo au jana. Tangu enzi za mangi mareale alimsaliti mwalimu wakati wa kupigania uhuru...
Jaza mapengo kwa ku2mia neno {zi} naamka asubuhi nina usingi... nakunywa chai na maanda... Kwa mchu... wa na... na ndi... ninae soma sms hii mimi ni chi... pia mshen... niliekosa ra... za waza...
Tsup great thinkers. J3 ndio inayoyoma hivo, kama huja"make" mpaka mida hii kaza buti mwanawane.
Naomba niwaulize swali la "kizushi".. Hivi ni nani yupo responsible kumpa mtoto jina pindi...
Sala ya kuombea kabati ya mume baada ya kuifua. Naiombea kabati ya mume wangu anapotoka ktk nyumba hii ivaliwe hapa na ivuliwe hapa tu, kama ataivua sehemu nyingine tofauti na nyumbani kwangu basi...
Nasikia ati kipimajoto siku hizi hakiwekwi chini ya ulimi wa mgonjwa baada ya mmasai mmoja kukimeza kwa kuzani muuguzi anempa dawa amese. Jambo hili lina ukweli gani wajameni?
Machizi wawili katika pitapita wakaokota kioo. Kichaa wa kwanza kujiangalia kwenye kikoo,akashtuka,
baada ya kujiona.
"Aloo huyu nani kwenye kioo mbona simjui ?!"
KICHAA WA PILI: (Akimpokonya...
Umewahi kuwa na mtoto mdogo <---5 sehemu ya public, akawa analia alafu watu kibao wanaopita au waliopo karibu wakaanza kukwambia anachohitaji huyo mtoto (kulala, kula, kubebwa, kucheza) bila kujua...