Mungu si athumani

Mashroud

Member
Mar 6, 2012
71
5
Jamaa 1 alikuwa akisafiri akapumzika chini ya muembe. Alipoangalia juu alisema moyoni "mungu kwel amekosea kuweka maembe madogo juu wakat maboga makubwa yako chini ardhini" Akapitiwa na usingizi mara embe likaanguka na kumpiga kichwani. Jamaa: kwel mungu ana akili,je lingekuwa boga ndio limeniangukia...? Muacheni MUNGU aitwe MUNGU.
 
Up up up up,umeng'ara yani,but sijui kama umewahi shuhudia mtu aliyedondokewa na dafu,ni balaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom