Utapata mimba mwaka huu...!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utapata mimba mwaka huu...!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by DEVINE, Mar 19, 2012.

 1. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana kuna mchungaji mmoja katika mahubiri yake huwa anachangamsha sana waumini wake,kwa mfano utakuta katikati ya mahubiri utasikia "..Muambie jirani yako..Yesu anakupenda!" basi kwa furaha na mbwembwe kila mtu atamuambia jirani yake,kisha mchungaji anasema "pokea upendo wa bwanaa!"..Sasa jana mchungaji alikuwa anahubiri kuhusu wanawake wasiopata watoto,sasa katikati ya mahubiri akasema "...Muambie jirani yako,mwaka huu utapata mimba!" bila kujali watu wamekaa na nani jirani wengi tulikaa kimya kwani unakuta umekaa na mwanaume mwenzio.Mara ikasikika tu mtu kapigwa kofi huko nyuma alafu mtoto akaanza kulia ile tunageuka tunakutana na baba akimwambia mwanae wa kiume "..Ukome!".Watu wote kanisani mbavu hatuna kwa kicheko.
   
 2. Mussa kiraka

  Mussa kiraka Senior Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  teh teh teh muhubiri amepata dhambi sana amesababisha dogo amechezea kichapo
   
 3. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ha ha ha ha,mchungaji alizidisha mbwembwe na yeye
   
 4. N

  N series Senior Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh, dogo anaweza kumkacha muhubiri kimoja
   
 5. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  haya mambo magumu kweli, assume umekaa na mdada mambae umemtokea kakupiga kipepsi alafu mchungaji kasema umwambie hayo maneno utayasema kweli!!!!
   
 6. S

  SI unit JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  A blue monday. Kichekesho kinachekesha!
   
 7. mkwapuaji

  mkwapuaji Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  Dah! Hebu fikiria umekaa umekaa na mdada ambaye amepigwa mzigo tarehe mbaya wakati anawaza nini kitatokea unamwambia hivyo?
   
 8. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hilo lilikuwa kanisa gani?
   
 9. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Nadhani litakuwa kanisa la kilokole.
   
 10. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mwambie jirani yako mizaha na mambo ya mungu haviendi pamoja
   
 11. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 639
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  asante kwa kutunga...
   
 12. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  teh teh teh
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa safi sana
  Nimecheka aisee lol
   
 14. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,230
  Trophy Points: 280
  dah we mkal, mpka machoz yametok nlvyochka...
   
 15. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  vungaga
   
 16. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kama ni adhabu ilibidi apewe mchungaji alietoa amri. Sasa hapo mtoto kosa lake nini?
   
 17. 2k Genius

  2k Genius Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  we noma aisee
   
 18. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mwaka huu utapata mimba, mwaka huu utapata mume, duuh
   
 19. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lazima akurukie kichwa
   
 20. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ..Wakati mtumishi wa Mungu keshaagiza.
   
Loading...