Sema tu ukweli...

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
536
86
Hebu vuta picha unaamka asubuhi unakumbana na hayaa;
1.Umebadilika jinsia.
2.Baada ya kubadilika unajikuta tajiri.
3.Alafu siku hiyo umetembelewa na wazazi wako kwako,au huko na mwenza wako wa ndoa au mchumba/mpenzi. Ivi utajisikiaje?
 
watu wengine bwana!!!!! hasara tupu, wanapoteza pesa za intanet connection kwa mambo ya k******e
 
Back
Top Bottom