Geita mpo wana JF?

Geita mpo wana JF?

Lucas

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,457
Reaction score
1,111
Habari, baada ya kumalizana na kina Nshomile leo niko kwa kina mami na kina Ngosha, Mpo?? naomba tujuliane hali wana JF wa Geita.
 
Heee uko unatafuta nini??
Mtafute bagah anakuja mitaa hiyo...
 
Heee uko unatafuta nini??
Mtafute bagah anakuja mitaa hiyo...

aha haha haha haah hah Majukumu tu kwa watanganyika, Bagah??? niambie yuko mtaa gani? tunashukuru Kamati yako haikufanikiwa
 
nipo singida now...heading SHY!...ntakuja GEITA pia nahsi keshokutwa!..
tulimpiga chini huyo mjamaa...alikua analeta utapeli kwenye harusi ya mwenzake!..
 
kesho kutwa naweza kuwa bado nipo tutafutane ukifika.... yaani kuhusu huyu mheshimiwa ni bonge la ushindi
 
aha haha haha haah hah Majukumu tu kwa watanganyika, Bagah??? niambie yuko mtaa gani? tunashukuru Kamati yako haikufanikiwa
Haikufanikiwa wapi...??
Tulimwaga so nyi mkajua haijafanyika...
Sasa hivi niko najiandaa na yetu....
 
nipo singida now...heading SHY!...ntakuja GEITA pia nahsi keshokutwa!..
tulimpiga chini huyo mjamaa...alikua analeta utapeli kwenye harusi ya mwenzake!..

Bagah ukifika shy unambie....
 
Back
Top Bottom