Sala ya kuombea kabati ya mume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sala ya kuombea kabati ya mume

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by TaiJike, Mar 19, 2012.

 1. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Sala ya kuombea kabati ya mume baada ya kuifua. Naiombea kabati ya mume wangu anapotoka ktk nyumba hii ivaliwe hapa na ivuliwe hapa tu, kama ataivua sehemu nyingine tofauti na nyumbani kwangu basi na iwe kwa ajili ya kunya au kukojoa tu naikabidhi ikiwa safi. Kama itavuliwa kinyume na niliyosema basi nyoka wake akapigwe upofu asilione tundu analolitafuta
   
 2. Mussa kiraka

  Mussa kiraka Senior Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We mkareee!
   
 3. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Karibu.
   
 4. mkudeson

  mkudeson Senior Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni sala ya muda gani, asubuhi, mchana au jioni??
   
 5. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Kulingana na atakavyobadili na kutoka nyumbani kwake hata 5x12=POA.
   
 6. m

  mwanakaya Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Aaaiimen
   
 7. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Na iwe hiyvo mwanakaya.
   
Loading...