Madaktari hili la mmasai ni kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari hili la mmasai ni kweli?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Midavudavu, Mar 19, 2012.

 1. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nasikia ati kipimajoto siku hizi hakiwekwi chini ya ulimi wa mgonjwa baada ya mmasai mmoja kukimeza kwa kuzani muuguzi anempa dawa amese. Jambo hili lina ukweli gani wajameni?
   
 2. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Pima joto ni tungo tata wadada tunaitafsiri kama bby, au hand bag, hiyo ya hosp huweka kwapani na si mdomoni baada ya maradhi kuzidi.
   
Loading...