Wadau,
Kwa wale ambao ni wenyeji hapa Mwz mjini, napazungumzia pale mtaa wa Uhuru/Liberty jirani na Msikiti wa waarabu (Ibaadh)
Eneo ambalo ni maarufu wanapopatikana wadada wa kazi za muda...
Jamaa wawili walikuwa wakisafiri kwa mtumbwi, ghafla mtumbwi wao ukapigwa na dhoruba kali ukapinduka. Jamaa wakatapatapa wakasema "..ee Mungu tusaidie..!". Ghafla wakaona magogo mawili wakayapanda...
mzee mmoja aliwakataza vijana kuvuta bangi karibu na nyumba yake wakaamua kumwamisha, wakavuta mbangi wakavua shati wakaanza kusukuma ile nyumba kibaka akapitia zile shati, mmoja wao alivyogeuka...
:crazy:Kama kawaida kajoli mzee wa uchunguzi, leo nakuja na tabia za utotoni kwa watu tofauti,
na ninakuhakikishia katika sifa hizi kumi lazima wewe ulikuwa nazo kadhaa.
Unaweza ku like kama...
Mshua mwenye iman za kishirikina alienda sumbawanga kuchukua waganga wa 3 waje kumfanyia mambo mipango yake ikae sawa
(katika gari binafs noah) kila mganga anatoa ujuz wake kwa mwenzie ndan ya...
Jamaa alikuwa ana matatizo ya macho,alipoenda hospital alipewa miwani iliyomfanya aone vitu viwili viwili.Siku 1 alienda baa na mkewe,...baada ya muda jamaa aliamka kwenda toilet.Aliporudi suruali...
Kwenye mashindano ya kula ugali kwa mboga ya ajabu washindi walikua kama ifuatavyo, mshindi wa tatu alikula ugali kwa kulumangia na chumvi mfuko mzima, mshndi wa pili alikula ugali bakuli la maji...
Mtoto ana mchukua Baba yake kwenda kwa Daktari. Daktari anawapa habari mbaya kwamba Baba atakufa na Kansa.Baba anamwambia Mtoto hapa Duniani amekuwa na maisha mazuri ataka kupata moja baridi moja...
Mke alichoshwa na vituko vya mumewe,akasema"bora ningeolewa na ibilisi kuliko ww" mume akamwangalia then akamjibu"dini hairuhusu mtu kuolewa na kaka yake.
nimekutana na MPEMBA leo feri akipata mchuzi wa pweza akidai amekosa nguvu zaunyumba kisa net zamsaada iliwasizaliane maana wataleta mpasuko wa muungano,ila yake kama yanakweli hivi
A man decides to have a face-lift for his birthday. He spends $5,000 and feels really good about the results. On his way home, he stops at a newsstand and buys a paper.
Before leaving, he says to...
naona vipindi siku hizi ni kuigana mwanzo mwisho...hakuja ubunifu kiukweli...hawa clouds nao wameanzisha comedy show...zilizokuwepo station zingine ni mbovu,sasa tuone na hiki kipya!..
This is an Conversation between a Kenyan Policeman and an Innocent Citizen
who simply happens to be walking home from work late at night.
Gijana Untatoga wabi?
Jina yago nani?
Baba yago nani...
Kulkua na walevi mlevi akinywa baa,baada ya hapo alienda kwenye part ya harus ya ndugu yke,wakat sherehe imekwisha wakamwambia twende nyumban akawajibu hv;Mimi ni mcha mungu sipend wizi wala...
I love you honey
Believe me this is true
I dont need cars or money
Because all i want is you
You wipe away the tears i cry
You fill my face with a smile
I promise never to say goodbye...
Nasikia usipotoa usahihi juu ya akaunti yako benki pesa ninazimwa kama za DECI,utaulizwa:1 nani alikushauri akaunti?2 ulipata wapi akaunti?3 hela ya chengi ya radi na dowans laki ngapi? 4we ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.