Machizi na kioo ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Machizi na kioo !

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by DAWA YA SIKIO, Mar 19, 2012.

 1. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Machizi wawili katika pitapita wakaokota kioo. Kichaa wa kwanza kujiangalia kwenye kikoo,akashtuka,
  baada ya kujiona.
  "Aloo huyu nani kwenye kioo mbona simjui ?!"
  KICHAA WA PILI: (Akimpokonya kioo mwenzake na kujiangalia): Acha ushamba wewe,huyu si mimi umeshindwa kunitambua ?!
  KICHAA WA 1 (akajiangalia kwa mara ya pili na kutikisa kichwa): Aah kweli huyu ni wewe,nilikuangalia vibaya mara ya kwanza!
   
 2. N

  N series Senior Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli kichaaa au ganja planta????
   
 3. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Vichaa Secondary to Majani.
   
Loading...