Majina haya yana maana gani

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Jf kwangu ni zaidi ya burudani, ni shule na darasa pia. Naombeni maoni yenu nini maana ya majina haya na lipi linafaa zaidi kumwita mtoto wa kiume.
1. Prosper
2. Hans
3. Jay
4. Junior
5. Johnson

Kama una jina unaona linafaa kulingana na wakati tupia hapa.
 
Kama ni wa kike mwite "nkeone" na kama ni wa kiume mwite "ngoshione", ni majina mapya na pia hujapata kuyasikia wala kuyaona popote sawa wakubukua?
 
Erick wanakuaga walevi kinoma..

Haya tena mapya! Ni comments lakini utafikiri ni headin' ya post ! Duuh !
B52 ,
nakuamini askari wangu jibu mapigo hayo!
Naona kama kakugonga uppercut maeneo ambayo WBC hawaruhusu. (kama vile chini ya kitovu n.k)
 
Johnson ni kijana wangu,
ni msafi sana ila ana hasira za kuzira
sijui kama ni jina au ni tabia.
 
Haya tena mapya! Ni comments lakini utafikiri ni headin' ya post ! Duuh !
B52 ,
nakuamini askari wangu jibu mapigo hayo!
Naona kama kakugonga uppercut maeneo ambayo WBC hawaruhusu. (kama vile chini ya kitovu n.k)

Tehe tehe!! Nakaa pembeni kusubiri b52 aje kujibu mapigo!
 
Afu pia ni masharobaro, nilisoma na Erick mmoja arusha sec, kila saa ana brush viatu na kujipulizia pafumu!.. Ila wanakuwaga na maakili sana..

@Wakusoma Erick NO!
SweetLady we unanijua vema.....iambie jamii ukweli km mi nina sifa hizo....
Wasifu wa Erick wote:
1.Wapole sana
2.Wastaarabu sana
3.Wako makini sana na kila kitu wafanyacho
4.Hawana makuu
5.Wanapenda watu wote
6.Wanamcha Mungu
 
...mbona wadau mmeibuka na majina yenu!?
Jay la ukwel sana...
 
Tehe tehe!! Nakaa pembeni kusubiri b52 aje kujibu mapigo!
Sifa za Erick:
The name Erick reflects drive, a pioneering spirit, leadership, independence and originality. The energy behind this name is strong and forceful and promotes an unconventional, innovative, and decisive approach. Highly focused and selfreliant, the name Erick carries with it an unmistakable "can do" attitude. It reflects confidence, energy, strength and perseverance. There is a definite sense of danger and risktaking as well.
 
Back
Top Bottom